Ni kweli kabisa CCM ni chama cha majambazi na UVCCM na jeshi na polisi ni vikosi mahususi kwa jina la wasiojulikana. Mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya urais ndiye anatoa maekekezo ya ukatili wote.Rubbish
Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?
Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..
Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
Sawa,tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.acha maneno ya kishetani, wewe mwisho wako unajua? Kemea maovu yake na si kudhalilisha utu wake. Hujui kesho yako
Nenda kisongo kamsaidie miaka mitanoHatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.

Chawa wa Sabaya waneanza kuweweseka.Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
KichefuchefuRubbish
Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?
Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..
Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
Huko sio kuonewa ,hakuna kujificha kwenye kundi au mkumbo ukinaswa unawajibishwa wewe kama wewe sio swala la mbona x hajafanyiwa kama mimi.Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Keshakula nyundo 30 ,porojo zingine hazitakusaidia wewe pamoja na Sabaya.Sabaya amekuwa mbuzi wa kafara kama tunafanya overhaul tuanze na high command wenyewe , watu wasijifanye ni wema Sana kisa wanayo madaraka ...hata hvyo mda utatupa majibu bullshit
Noma sana !Uko sahihi kabisa, Sabaya amechukuliwa hatua kwa sababu ni mhalifu aliyehitiliafiana na wahalifu wenzake wa ccm. Na uhalifu wa Sabaya ulikuwa na baraka zote za muhalifu mkuu ambaye alikuwa ni Magufuli.
Jambo gani tutajie..Alikuwa hajui kwamba hao ni vigogo na yeye sisimizi? Ukiwa huna akili unstumiw kama ndom ni nyundo tuu.Nakubaliana na hili:
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Ila kwamba Sabaya kaonewa sikubaliani nalo kabisa! Amefanya maovu mengi hayo yaliyofikishwa mahakamani ni machache mno!
Muda wake ulikua umefika, kila jambo (MTU) na majira yakeHatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Ukisoma vizuri utamuelewa mtoa post, hasemi kwamba kaonewa na mahakama ila yeye wamemtoa kama mbuzi was kafara, yaani wahalifu wapo wengi sana so wawafuatilie na wengineNimegundua weng wanaosema sabaya kaonewa ni washirika wake wa kutoka kanda yake, kuna lip la kulalamika? Mahakama imetenda haki tuache kuingilia uhuru wa mahakama
Kama kuna uonevu hapa jf si sehemu ya kulalamika kuna hatua za kisheria za kufuata, otherwisize haya ni majungu na kutaka kuchonganisha wananchi kwa itikadi zao pamoja na mahakama,
Nashauri mod madam kama hizi ni za kuondoa ni uchafu kma uchaf mwingine
Kila mtuhumiwa anahukumiwa kwa makosa yake aliyoyatenda. Huyu tayari kahukumiwa na bado Ile kesi nyingine inamwendea kombo.Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
SABAYA JAMBAZI SUGUHatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.

Mtanzania kwa kupenda kulalamika anaongoza afrika nzima. Sabaya alikuwa anaamuru watu wapigwe misumari ya miguuni kama Yesu alivyofanyiwa na ushahidi upo.Rubbish