Nilisahau kujitambulisha lakini mimi nimeathiliwa na hawa mafisadi kwa muda mrefu na sasa ama zangu ama zao nimekuja kudai haki yangu na kuelimisha umma
shukurani kwa kwa kunikaribisha,
vita yangu ina macho na nina mjua adui yangu
naye ni ufisadi nitapambana naye mpaka kumshinda
lakini pia mimi sio mchovu, hata kama maadui wakiongezeka mimi bado niko
imara, nina uwezo zaidi ya usa kupigana vita zaidi ya kumi kwa wakati mmoja
nategemea katika vita hii kuna maadui kama unafiki, ukereketwa na wauza haki zao,
lakini hapa wamefika mwisho
haya ngoja vita imeanza
nilisahau kujitambulisha lakini mimi nimeathiliwa na hawa mafisadi kwa muda mrefu na sasa ama zangu ama zao nimekuja kudai haki yangu na kuelimisha umma