OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Kumekuwepo na minong'ono isiyo rasmi kutoka kwa wapambe wa bwn Ole Naiko akiongozwa na mh diwani wa viti maalumu monduli kuwa ameshaanza harakati za chini chini za kutaka kuwania ubunge jimbo la monduli 2015.
Kwa kumbukumbuku tu ni kwamba bwn huyu hata rais alishamkataa tangu mwanzo katika kumpa nafasi nyeti aliyokuwa anaishikilia serikalini ya mkurugenzi wa uwekezaji tz kwani hata katika nafasi hiyo uteuzi wake ulitia mashaka kutoka na kupewa nafasi hiyo kipindi cha mwisho kabisa cha utawala wa mh Mkapa na hata alipomaliza muda wake habari zinasema kuwa rais JK alikataa katakata kumuongea mkataba mwingine.
Matatizo mengi mengi pamoja na kushindwa kabisa kuendesha kituo hicho ikiwa ni pamoja na manyanyaso ya hali juu ya wafanyakazi wa chini yake hasa madereva na mrithi wake katika nafasi hiyo ndiyo yanayopelekea wanamonduli kwa umoja wao waseme HAPANA kwa mtu huyu .
Pamoja na madhaifu mengi ikiwa ni pamoja na kushindwa kuiongoza familia yake mwenyewe tumefika mahali tunajiuliza tutawezaje kumuamini kumpa nafasi kubwa ya ubunge ya kuongoza na kuwatetea wakazi wa monduli wafikao takribani 200,000?
Vijana wengi wamekuwa wakimuelezea ndg Ole Naiko kama miongoni mwa wazee waliokosa hekima na busara na wengi wamekuwa wakishauri ni vyema akaingia kwny fani ya bongo fleva hasa kutokana na muonekano wake wa kuvaa macheni na mapete kama msanii wa muziki.
Kwa pamoja tuungane kusema HAPANA kwa ole Naiko tunahitaji mbunge mwenye kujitoa na kupenda wananchi wake kama ilivyo kwa mbunge wa sasa mh lowassa.