Ngongo, hiyo kitu haitakaa itokee, 2020 wote hao wanapigwa chini majimbo yanarudi kwa wafia chama! Huo ndio mwisho wao kisiasa!Nasikia wabunge wote walionunuliwa wana mkataba wa kuachiwa jimbo hadi 2020.Huu mkataba Slow slow kasign sijui wafia chama kama watakubali.
mnyakyusa mpumbavu umebaki peke yakoJaribu kutumia akili kidogo. ....yeye ndo alileta habari hapa bila ushaidi wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona akili yako nyembamba hivyo? Hawakuzomeana. Millya alizomewa hadi akajamba cheche! 😂😂😂😂😂Weka clip tuone wakizomeana
Na nyingine zinasema kwamba baada ya kuzomewa alianguka akazimia 😅😅😅taarifa zaidi zinadokeza kwamba baada ya kuzomewa alikimbia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ushahidi huu hapa: Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Since when he betrayed the people his face has changed to look like a canine(dog) his smile like nyonyadamu(vampire) with mwanya like a cave. He does not look like a human. Sad when young choses to bury ones self.Katika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
Kuna wafiwa na waombolezaji na wengine wengi wanafuata mambo ya msiba tu.Hao ni waombolezaji au wazomeaji? I mean kama nimefiwa na mtu wangu wa karibu ninayemjali sijui kama nitapata muda au hata nguvu ya kuzomea mtu.
nini kulipiga..wangeliumber ruty kbs😣
mazingira ya JF yanataka ushahidi wa ziada ya maneno sio wote walikuwepo na kuona na sio wote wanakufahamu ili kuweza kuamini maelezo yako pekee bila ushahidi wa ziada.Hivi una akili kweli msibani watu wanaomboleza wewe una chukua simu unarecord upumbavu wa Millya.
Kama hutaki kuamini shauri yako habari ndio hiyo.
mazingira ya JF yanataka ushahidi wa ziada ya maneno sio wote walikuwepo na kuona na sio wote wanakufahamu ili kuweza kuamini maelezo yako pekee bila ushahidi wa ziada.
sasa si unaona unavyopata tabu kujieleza; ungeweka clip ingerahisisha mambo mengi.Najua wewe ni Mong’o unapenda league sana lakini ukweli ndio huo Millya jana kazomewa tena mbele ya mke wake.
Alipopewa mic 🎤 aliomba waombolezaji tuimbe wimbo namba 309 kitabu cha Mwinbieni Bwana fungu la kwanza tu “Karibu na Wewe,Mungu baada ya kumaliza akaanza kuingiza uCCM ndipo watu wakaanza kumzomea akabadili gear ya kuingiza jina la Sokoine tayari alishakosea hakuwa na namna tena alishajionyesha alivyomjinga.
Mwenzake Nyalandu aliongea vizuri hasa akimwelezea marehemu jinsi alivyokuwa mchangamfu na mwenye upendo.