Ole kwa wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole kwa wanawake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Jun 22, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kila mara bajeti ya tz inaposomwa kwa miaka kadhaa sasa kodi( bei) za soda, bia na vilevi vingine houngezwa, nimekaa na kugundua kuwa ni wanawake na watoto wanaoumia coz kama mtu ni mlevi hakuna namna ya kumzuia asiweze kupata kilevi badala yake hupunguza matumizi ya nyumbani ili apate cha juu kwa ajili ya kilevi chake, kama huwa anaacha 10000 ujue atapunguza mpaka 8000 au pungufu zaidi.
  Kwa maana hiyo bajeti ya serikali iliyosomwa na kupitishwa bungeni huku ikiwa imeongeza gharama ya vilevi itasababisha maisha magumu kwa baadhi ya familia za walevi hasa kwa mama na mtoto. Serikali ingekuwa makini ingebuni vyanzo vingine vya mapato.
  Nawasilisha!
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waswahili wanasema, "simba akizidiwa hula nyasi". Walevi watahamia kwenye viroba na supu ya mawe kwanza kisha watakwenda kushushia bia moja anakuwa amepata stimu ya kutosha kwa siku.
   
Loading...