Kama lile li MalasusaOle wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.
Kristo mnayemhubiri alipinga udhalimu kwa nguvu zote kutoka kwa watawala wa wakati ule. Alifanya hivyo mchana kweupe, jicho kwa jicho, uso kwa uso bila kupumzika siku zote kutwa nzima.
Wengi wenu mnaogopa kupaza sauti, wengine mmekuwa sehemu ya wadhalimu. Ole wenu. Kama UDHALIMU unaendelea mlipaswa kuendelea kupiga kelele popote pale mnapokuwepo tena pigeni kelele bila kuchoka.
Kuna haja gani ya kuhubiri mambo ya kwenye Biblia tena ni mambo yaliyopita huku tukiacha kuhubiri mambo yanayowasibu waumini wetu kwa wakati huu?
Lipi jema, uhubiri habari za Mtume Paulo au uhubiri habari za Mwumini wako anayekabiliwa na changamoto zinazosababishwa na ukengeufu wa viongozi wetu?
Mimi nadhani bado tuna nafasi. Tutumie muda na pumzi tuliyopewa na Mungu kuwapigania kondoo wetu tuliokabidhiwa na Mungu kuwachunga ili wasikamatwe na MBWAMWITU.
Kukaa kimya bila kuwatetea kondoo wanapokamatwa na MBWAMWITU wewe ni sehemu ya hao MBWAMWITU.
Uliowataja si ndio wataalamu wa dhuluma za kingono kama vile ulawiti wa vijana wadogo, kuwapachika mimba kiholela mabinti wa watu na kutekeleza watoto, pamoja na kuingilia ndoa za waamini wao kingono?Ole wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.
Kristo mnayemhubiri alipinga udhalimu kwa nguvu zote kutoka kwa watawala wa wakati ule. Alifanya hivyo mchana kweupe, jicho kwa jicho, uso kwa uso bila kupumzika siku zote kutwa nzima.
Wengi wenu mnaogopa kupaza sauti, wengine mmekuwa sehemu ya wadhalimu. Ole wenu. Kama UDHALIMU unaendelea mlipaswa kuendelea kupiga kelele popote pale mnapokuwepo tena pigeni kelele bila kuchoka.
Kuna haja gani ya kuhubiri mambo ya kwenye Biblia tena ni mambo yaliyopita huku tukiacha kuhubiri mambo yanayowasibu waumini wetu kwa wakati huu?
Lipi jema, uhubiri habari za Mtume Paulo au uhubiri habari za Mwumini wako anayekabiliwa na changamoto zinazosababishwa na ukengeufu wa viongozi wetu?
Mimi nadhani bado tuna nafasi. Tutumie muda na pumzi tuliyopewa na Mungu kuwapigania kondoo wetu tuliokabidhiwa na Mungu kuwachunga ili wasikamatwe na MBWAMWITU.
Kukaa kimya bila kuwatetea kondoo wanapokamatwa na MBWAMWITU wewe ni sehemu ya hao MBWAMWITU.
Kwani kazi ya mapadre na wachungaji ni kukemea maovu ya Serikali? Sodhani kama uko sawaOle wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.
Kristo mnayemhubiri alipinga udhalimu kwa nguvu zote kutoka kwa watawala wa wakati ule. Alifanya hivyo mchana kweupe, jicho kwa jicho, uso kwa uso bila kupumzika siku zote kutwa nzima.
Wengi wenu mnaogopa kupaza sauti, wengine mmekuwa sehemu ya wadhalimu. Ole wenu. Kama UDHALIMU unaendelea mlipaswa kuendelea kupiga kelele popote pale mnapokuwepo tena pigeni kelele bila kuchoka.
Kuna haja gani ya kuhubiri mambo ya kwenye Biblia tena ni mambo yaliyopita huku tukiacha kuhubiri mambo yanayowasibu waumini wetu kwa wakati huu?
Lipi jema, uhubiri habari za Mtume Paulo au uhubiri habari za Mwumini wako anayekabiliwa na changamoto zinazosababishwa na ukengeufu wa viongozi wetu?
Mimi nadhani bado tuna nafasi. Tutumie muda na pumzi tuliyopewa na Mungu kuwapigania kondoo wetu tuliokabidhiwa na Mungu kuwachunga ili wasikamatwe na MBWAMWITU.
Kukaa kimya bila kuwatetea kondoo wanapokamatwa na MBWAMWITU wewe ni sehemu ya hao MBWAMWITU.
Kati ya uliyowataja HAKUNA wa kulia nywi wala nywinywinywi!Ole wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.