Ole Gunnar Solskjaer autaja Mlima Kilimanjaro

MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,829
3,529
Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.

Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani hivyo itafanya kila shabiki kwa wakati wake kuufatilia huo mlima kilimanjaro na kufahamu habari zake mpaka kufananisha na kukaa kileleni kwa timu ya Manchester United. Solskjaer mentions Mt. Kilimanjaro to challenge Manchester United players
 
Amekosea sana. Kwa nini hajataja Chato? Au hajui Chato ndiyo habari ya mjini na ipo kilele kwa sasa?
 
BANDO langu.,.,
SIMU yangu.,,
alafu nipangie cha kucoment?

WHO ARE BY THE WAY?
 
Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.

Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani hivyo itafanya kila shabiki kwa wakati wake kuufatilia huo mlima kilimanjaro na kufahamu habari zake mpaka kufananisha na kukaa kileleni kwa timu ya Manchester United. Solskjaer mentions Mt. Kilimanjaro to challenge Manchester United players
Kwa hio.. nchi kama USA. China. Canada, Australia. Denmark, na majiji kama New York. Los Angeles. Hollywood nk.. yanatajwa kila siku. Sio mtu mmoja kataja kilimanjaro basi tunachanganyikiwa sana. Tujivunie vijana tz wakipata ajira na maisha yakiwa poa.
Samahani lakini kwa kukukosoa katika hili.
 
Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.

Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani hivyo itafanya kila shabiki kwa wakati wake kuufatilia huo mlima kilimanjaro na kufahamu habari zake mpaka kufananisha na kukaa kileleni kwa timu ya Manchester United. Solskjaer mentions Mt. Kilimanjaro to challenge Manchester United players
Daily News Ni gazeti la kipropaganda linaongozwa toka Chato, wekeni link ya video tumuone wenyewe
 
Back
Top Bottom