Old coins for sale

Old coins for sale

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
956
Amani ya Mungu iwe Nanyi
wakuu nina fedha za kizamani nauza kwa yeyote mdau wa hili tuwasiliane(pm).
Sarafu ni za pre na post Uhuru kwa maana za Malkia na Kambarage, pia msaada wa soko kwa anaejuwa lilipo tafadhali.
Ahsante.
 
Aisee nipeni bei ya shilingi tano ya afrika mashariki ya mwaka 1958.
 
Back
Top Bottom