Old but classic

Old but classic

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Disclaimer: nafanya kazi ambayo inanipa fursa kukutana na wanawake/kina dada wengi sana

Basi kuna mdada mmoja uzuri wastani ila ana shape ya kuuza nyumba
Yana ana sex appeal kama mwanaume umekamilika ukimwona lazima uwaze jinsi akiwa hana nguo

Hua anakuja mara kwa mara kazini kwetu kufatilia mambo yake

Kazini kwetu kuna wanaume plus mimi tupo wa3 wote network search yani kwamba mrembo hawezi tupita hivi hivi

Kwa bahati mbaya huyo mrembo alianza kuja fatilia mambo yake wakati mimi nipo likizo

Nilivorudi nikakuta jamaa zangu washa tangulia wana namba zake wana chat chat ila sikujua wamefikia wapi

Ikabid niwe kauzu binti akija nakua naongea naye tu as matter of fact
Jana kaja ofisini ilikua mida ya lunch nimebaki mwenyewe mimi ni mzee wa late lunch ivo hadi wenzangu hua wakirudi ndio naenda mimi

Binti alivofika kafanya mambo yake then akaja kwenye cube yangu kaka samahani simu yangu niliweka mezani sasa ivi siioni naomba simu yako niipige yangu

Akanipa namba yake tukaipiga ikawa inaita tu hadi inakata but hatukusikia mlio wowote

Yeye anasema aliweka vibration
Nimeisaka mule ofisini kama dak 5 sioni dalili ya simu

Baadae akaaga anaenda akasema maybe hakuja nayo

Nikaendelea na shughuli yangu
Nilivo rudi home mida ya saa 3 usiku

Naona namba mpya kupokea yule mrembo anajitambulisha kanambia simu yake aliipata kumbe alisahau kwenye gari
Tukapiga story mbili tatu

Kabla ya ku hang up mwanaume nika mpenyezea kama naweza kuonana naye kwa lunch
Nimepewa date ijumaa lunch time

Kwa akili yangu ya ujames bond nishaelewa mtoto alikua anataka nini
Ila niseme tu ile mbinu yake ni old but classic

Najua hachomoki huyu.
 
Sawa mkuu, usisahau kushare nasi feedback humu jamvini.
 
Assume wenzako woote weshampitia na wameambukizwa ila we ndo peke yako hajakumaliza. Halaf unajisifia ati unaenda kumega mkate naye kumbe unajipeleka mwenyewe kwenye mauti yako. Always cheap things are costly sometimes
 
  • Thanks
Reactions: ywf
What is old but classic there...!? I couldnt get it.
 
Assume wenzako woote weshampitia na wameambukizwa ila we ndo peke yako hajakumaliza. Halaf unajisifia ati unaenda kumega mkate naye kumbe unajipeleka mwenyewe kwenye mauti yako. Always cheap things are costly sometimes
Waza vitu positive
 
Disclaimer: nafanya kazi ambayo inanipa fursa kukutana na wanawake/kina dada wengi sana

Basi kuna mdada mmoja uzuri wastani ila ana shape ya kuuza nyumba
Yana ana sex appeal kama mwanaume umekamilika ukimwona lazima uwaze jinsi akiwa hana nguo

Hua anakuja mara kwa mara kazini kwetu kufatilia mambo yake

Kazini kwetu kuna wanaume plus mimi tupo wa3 wote network search yani kwamba mrembo hawezi tupita hivi hivi

Kwa bahati mbaya huyo mrembo alianza kuja fatilia mambo yake wakati mimi nipo likizo

Nilivorudi nikakuta jamaa zangu washa tangulia wana namba zake wana chat chat ila sikujua wamefikia wapi

Ikabid niwe kauzu binti akija nakua naongea naye tu as matter of fact
Jana kaja ofisini ilikua mida ya lunch nimebaki mwenyewe mimi ni mzee wa late lunch ivo hadi wenzangu hua wakirudi ndio naenda mimi

Binti alivofika kafanya mambo yake then akaja kwenye cube yangu kaka samahani simu yangu niliweka mezani sasa ivi siioni naomba simu yako niipige yangu

Akanipa namba yake tukaipiga ikawa inaita tu hadi inakata but hatukusikia mlio wowote

Yeye anasema aliweka vibration
Nimeisaka mule ofisini kama dak 5 sioni dalili ya simu

Baadae akaaga anaenda akasema maybe hakuja nayo

Nikaendelea na shughuli yangu
Nilivo rudi home mida ya saa 3 usiku

Naona namba mpya kupokea yule mrembo anajitambulisha kanambia simu yake aliipata kumbe alisahau kwenye gari
Tukapiga story mbili tatu

Kabla ya ku hang up mwanaume nika mpenyezea kama naweza kuonana naye kwa lunch
Nimepewa date ijumaa lunch time

Kwa akili yangu ya ujames bond nishaelewa mtoto alikua anataka nini
Ila niseme tu ile mbinu yake ni old but classic

Najua hachomoki huyu.


Vijana wa bongo fleva bwana. Hachomoki yeye au huchomoki wewe? Mwenzio alishajuwa nini anafanya na nini anataka ndiyo maana alikutega kwa makusudi tu. Huyu ni mjanja wa mjini, usikute hapo umempangia kukutana naye lunch hiyo siku, nusu saa baada ya hapo anaenda kukutana na mwingine. Mjanja nani hapo? Ukiacha kuendekeza kusikiliza bongo fleva utakuwa kiakili.
 
Back
Top Bottom