Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
Sio Jaja tu, wala siyo Yanga tu. Mwanadamu yeyote hapendi kunasibishwa na asiyefanya vyema. Hata Wajerumani wanamkataa Hitler ingawa aliingia madarakani kwa kura zao wenyewe!Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
Nasikia ss hv hadi huko chalinze habari ni jaja tu,okwi mwisho mikumi huko kwa wanyama
Ushabiki usio na mantiki,
Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,
Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.
Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.

hivi Drogba yeye anachezaje? Drogba bana Ni hodari wa kupiga chenga,kukimbia anatafuta mipira mwenyewe,anakaba,anatafuta mipira mwenyewe, anakimbiza kwa kazi sana na anafunga magori. Mpira magoli, hata mkijifunga wenyewe timu pinzani inashinda. Pamoja na kusimama kwake na kuvizia Jaja alipiga mbili.Ushabiki usio na mantiki,
Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,
Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.
Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.
Saaafi sana mkuu nimekukubali 100%....Jaja ndo habar ya mjinihivi Drogba yeye anachezaje? Drogba bana Ni hodari wa kupiga chenga,kukimbia anatafuta mipira mwenyewe,anakaba,anatafuta mipira mwenyewe, anakimbiza kwa kazi sana na anafunga magori. Mpira magoli, hata mkijifunga wenyewe timu pinzani inashinda. Pamoja na kusimama kwake na kuvizia Jaja alipiga mbili.
Nasikia ss hv hadi huko chalinze habari ni jaja tu,okwi mwisho mikumi huko kwa wanyama
Ushabiki usio na mantiki,
Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,
Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.
Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.
Kuanzia leo kiongozi,jaja hafai tena.Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
Kuanzia leo kiongozi,jaja hafai tena.
Penaaaalt....Msemaji wa mtibwa amesema leo watamkomesha JAJA.. hapa naamini kwamba mabeki wote watahamia kwake na kuwaacha ngasa, msuva wakipiga magoli halafu baadae wamlaumu mwamuzi!