Okwi astaafu Soka akiwa na miaka 32

Okwi astaafu Soka akiwa na miaka 32

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,783
Reaction score
40,565
FB_IMG_1742308927190.jpg

Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'.

Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaitumikia Kiyovu SC ya Rwanda, ameitumikia The Cranes tangu 2009 akiifungia magoli 28 kwenye mechi 95 huku akihudumu nafasi ya unahodha kuanzia mwaka 2021 akichukua kitambaa hicho kutoka kwa Golikipa Denis Onyango.

Pia soma
Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Kupitia taarifa yake rasmi aliyoipakia kwenye mitandao ya kijamii, Okwi amesema “Kuiwakilisha nchi yangu kwenye jukwaa la kimataifa imekuwa ndoto yangu ambayo imetimia kila mara iliacha hisia maalum, na kuwa nahodha wa timu yetu ilikuwa fursa na heshima kubwa.”

Je, una mkumbuka Okwi kwa tukio gani Timu ya Taifa?

1742310153934.png

source east africa tv
 
View attachment 3275408
#MICHEZO: Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'.

Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaitumikia Kiyovu SC ya Rwanda, ameitumikia The Cranes tangu 2009 akiifungia magoli 28 kwenye mechi 95 huku akihudumu nafasi ya unahodha kuanzia mwaka 2021 akichukua kitambaa hicho kutoka kwa Golikipa Denis Onyango.

Kupitia taarifa yake rasmi aliyoipakia kwenye mitandao ya kijamii, Okwi amesema “Kuiwakilisha nchi yangu kwenye jukwaa la kimataifa imekuwa ndoto yangu ambayo imetimia kila mara iliacha hisia maalum, na kuwa nahodha wa timu yetu ilikuwa fursa na heshima kubwa.”

Je, una mkumbuka Okwi kwa tukio gani Timu ya Taifa?

source east africa tv
Asante kwa pichaa
 
.....sawa sawa ni Africa tuu.....bgoma hii 45yrs sura hiyooo kama......ngozi tako la Msuva nyooooo
 
Ukitumia carbon 14, hamna hamna hapo labda miaka 43 😜

Ila Afrika ni wazuri sana kwenye kudanganya umri 🙌
Nikiweka picha hapa ya kwangu ambaye nina 40+ sura haiko hivyo alivyo. Okwi yuko 45+
 
Nahisi jamaa atakuwa above 45 kama ulivyosema

Nahisi yupo Rika Moja na akina Kelvin Yondani ama Juma Kaseja
 
Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'.

Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaitumikia Kiyovu SC ya Rwanda, ameitumikia The Cranes tangu 2009 akiifungia magoli 28 kwenye mechi 95 huku akihudumu nafasi ya unahodha kuanzia mwaka 2021 akichukua kitambaa hicho kutoka kwa Golikipa Denis Onyango.

Pia soma Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Kupitia taarifa yake rasmi aliyoipakia kwenye mitandao ya kijamii, Okwi amesema “Kuiwakilisha nchi yangu kwenye jukwaa la kimataifa imekuwa ndoto yangu ambayo imetimia kila mara iliacha hisia maalum, na kuwa nahodha wa timu yetu ilikuwa fursa na heshima kubwa.”

Je, una mkumbuka Okwi kwa tukio gani Timu ya Taifa?

source east africa tv
Umri halisi hapo ni miaka 40+ na siyo 32.
 
Back
Top Bottom