okwi astaafu soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Okwi astaafu soka la kulipwa

    Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi huo ni miongoni mwa maamuzi magumu zaidi maishani mwake, akieleza kuwa soka halikuwa kazi tu bali...
  2. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ronaldo angekubali tuu kustaafu kama Okwi

    Cristiano Ronaldo Cr7 ange staafu tu kama mwenzake Okwi. Jamaa hataki kukubali kama uroto hana tena
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Okwi astaafu Soka akiwa na miaka 32

    Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'. Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaitumikia Kiyovu SC ya Rwanda, ameitumikia The Cranes tangu 2009 akiifungia...
Back
Top Bottom