hizi habari mnazipata wapi?
Hahaha! Mkuu Mwili Nyumba hilo sahau umemsahau kiemba nini na kipindi hicho Amir maftaa atakuwepo bado mwinyi kazimoto hapo mzunguko wa pili Simba tutarudi kivingine sana
Ningekuwa mimi ni kiongozi wa Simba ningeshawishi timu iachane na wageni, Edward Christopher na Abdallah Juma wakipigishwa mazoezi ni mbadala wa Sunzu, Ramadhani Singano na Haruna Chanongo wakipigishwa mazoezi ya nguvu ni mbadala wa Okwi, Abdallah Seseme na Said Ndemula wanaweza kurithi dimba la kati, Double Hassan wanarithi nafasi za Keita na Ocheing. Inabidi viongozi wa Simba wawaamini hao madogo hawa wageni wanatuzingua tu.

eti enheee maana hata picha hatuziona mbona bocco ngasa na wengine tuliziona ila yeye tu hatujaziona..
Kila la kheri kwake.
Jamaa kiwango chake ni kukipiga Ulaya. Hapo Azam naamini ni njia tu; umri pia bado unaruhusu.
ana umri gani kwani??