Okwi ajiunga na Azam

kinachofurahisha ni kwamba kakwepa malapa
hiyo janja ya yanga mumepigwa goli la dobo,mmetishwa kwamba watamsajili okwi mkashtuka mhh isije ikawa kama yondani na mbuyu wanachama watacharuka afadhali azam.....................goli lingine .
 
Simba na Azam walichofanya wameswap Okwi 2 Azam Kipre Tcheche na Erasto Nyoni wamekuja Simba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
simba ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo hata bila okwi..umesikia matusi ya ngasa jana..hata hivyo Okwi bado ana mkataba na simba wa miezi zaidi ya 7..

NGASSA yupi huyu huyu mnazi mkubwa wa YANGA haya akirudi tuone atafanya nini labda YANGA ajitoe kwenye hiyi ligi.
 
simba itaendelea kuwepo walikuepo mastaa zaid ya huyo okwii achen kuwa na fikra dun.
 
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam

Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!

Mwakani Simba lazima washuke daraja wapi mtani Crashwise?
 
Last edited by a moderator:
Simba na Azam walichofanya wameswap Okwi 2 Azam Kipre Tcheche na Erasto Nyoni wamekuja Simba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hapa ndio wasiwasi wangu maana kc10 akiuzwa tu azam tunapoteana..
 
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam

Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!

Mwakani Simba lazima washuke daraja wapi mtani Crashwise?
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri kwake.
Jamaa kiwango chake ni kukipiga Ulaya. Hapo Azam naamini ni njia tu; umri pia bado unaruhusu.

Tatizo huko Ulaya huwa anakimbia vipimo
 
Tunamtakia mema na kumwambia Asante ila Simba ipo na itaendelea kuwepo!
 
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam. ...Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
Alaah, kumbe bado, tusubiri basi taarifa zibainishe
 
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?

Mkataba wa Okwi unaishia, Simba wameshindwa kufikia dau, kwa nini asiende Azam? Mbona RVP alienda zake Man U?
 
Umenena, TP Mazembe tu imemshinda..ataishia kama Lunyamila.

hahaha watu si wanadhani kuwa ulaya kitoto...wewe mpaka mtu analipwa mamilion ujue ipo kazi....na sie miafrika tulivyokuwa wavivu ndio balaa. huyo ukwi mvivu kwenye kukaba acha
 
Aisee tutampakata vibaya mnyama kwenye mechi ya marudiano.

Hahaha! Mkuu Mwili Nyumba hilo sahau umemsahau kiemba nini na kipindi hicho Amir maftaa atakuwepo bado mwinyi kazimoto hapo mzunguko wa pili Simba tutarudi kivingine sana
 
Mwakani Simba lazima washuke daraja wapi mtani Crashwise?

Mpira ni biashara kama wamempa pesa nzuri aende halfu wewe jana nimekutafuta sana mitaa ya jangwani sikukuona vipi bado uko honeymoon au baada ya kuoa umeacha tabia ya kwenda kwenye vijiwe vya kahawa..niko njiani narudi Arusha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…