Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,701
- 49,704
Umeona vemaMungu hawai wala hachelewi, maana yake ni kwamba anafanya jambo kwa muda sahihi, mahali sahihi na katika mazingira sahihi.
Wakati wa Jiwe hata Mimi mwenyewe niliona kuwa anachelwa lakini akatufanyia surprise.
Mungu akajilipia kusasi kwa wakati muafaka ingawa mpaka kesho ile gang ni kama haiamini vile. Uovu haufunikwi kwa kutenda mema. Uovu hufunikwa kwa toba. Ajabu kila media kwa kuogopa au kwa takrima walikuwa wakihubiri mema yake bila kuhubiri toba zake. Cha ajabu vile viwanda laki 2 hatuvioni Sasa wala media hawavipromote tena tangu kifo chake kitokee. Maana yake ni kwamba sifa nyingi alizopewa na zikapenyezwa masikioni mwa wananchi zilikuwa fake.
Turudi kwenye MADA.
Hapa sizungumzii umauti, nazungumzia ushindi.
Mbele yake kuna giza hatoboi.
Mimi sijui kama atasusa , atapata mshindani ndani ya chama au nje ya chama , what I know ni kwamba October 2025 hatoboi.
Mambo ya hovyo sanaDu Royal Tour ilihamasisha utalii sasa wageni wanagongewa milango saa nane usiku wakiwa hoteli.
Hahaaa.... username 🙂Mambo ya hovyo sana
Ingekuwa inawezekana watu wa aina yako wangetafutiwa mkoa mmoja wapewe wajitawale tuone mngejitawala vipi maana hamjulikani mnachokitaka.Mungu hawai wala hachelewi, maana yake ni kwamba anafanya jambo kwa muda sahihi, mahali sahihi na katika mazingira sahihi.
Wakati wa Jiwe hata Mimi mwenyewe niliona kuwa anachelwa lakini akatufanyia surprise.
Mungu akajilipia kusasi kwa wakati muafaka ingawa mpaka kesho ile gang ni kama haiamini vile. Uovu haufunikwi kwa kutenda mema. Uovu hufunikwa kwa toba.
Ajabu kila media kwa kuogopa au kwa takrima walikuwa wakihubiri mema yake bila kuhubiri toba zake. Cha ajabu vile viwanda laki 2 hatuvioni Sasa wala media hawavipromote tena tangu kifo chake kitokee. Maana yake ni kwamba sifa nyingi alizopewa na zikapenyezwa masikioni mwa wananchi zilikuwa fake.
Turudi kwenye MADA.
Hapa sizungumzii umauti, nazungumzia ushindi.
Mbele yake kuna giza hatoboi.
Mimi sijui kama atasusa , atapata mshindani ndani ya chama au nje ya chama , what I know ni kwamba Oktoba 2025 hatoboi.
wewe unamtaka nani atoboe?Mungu hawai wala hachelewi, maana yake ni kwamba anafanya jambo kwa muda sahihi, mahali sahihi na katika mazingira sahihi.
Wakati wa Jiwe hata Mimi mwenyewe niliona kuwa anachelwa lakini akatufanyia surprise.
Mungu akajilipia kusasi kwa wakati muafaka ingawa mpaka kesho ile gang ni kama haiamini vile. Uovu haufunikwi kwa kutenda mema. Uovu hufunikwa kwa toba.
Ajabu kila media kwa kuogopa au kwa takrima walikuwa wakihubiri mema yake bila kuhubiri toba zake. Cha ajabu vile viwanda laki 2 hatuvioni Sasa wala media hawavipromote tena tangu kifo chake kitokee. Maana yake ni kwamba sifa nyingi alizopewa na zikapenyezwa masikioni mwa wananchi zilikuwa fake.
Turudi kwenye MADA.
Hapa sizungumzii umauti, nazungumzia ushindi.
Mbele yake kuna giza hatoboi.
Mimi sijui kama atasusa , atapata mshindani ndani ya chama au nje ya chama , what I know ni kwamba Oktoba 2025 hatoboi.
Kama hatoboi bati inawezekana, lakini kama ni Uchaguzi Mkuu hiyo ni "piece cake"!Mungu hawai wala hachelewi, maana yake ni kwamba anafanya jambo kwa muda sahihi, mahali sahihi na katika mazingira sahihi.