ni mjinga sana, yeye anajua ana mume cha kuiacha hiyo mimba ni nini wakati alijua fika ametembea na mtu mwingine, na isitoshe ni mzungu, wanawake wengine taaabu wanazitafuta wenyewe, asubirie hiyo aibu, kuna msichana namfahamu yeye alizaa africast kabisa eti akawa anakazana kuosha nywele za mtoto na bia ziwe ngumu, sijui alidanganywa wapi, ila hakuachwa, alikuja kuachana na mumewe kwa mambo mengine ya kijinga sana