Okoa muda wa kukaa ofisini

Okoa muda wa kukaa ofisini

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,590
Reaction score
2,434
Habarini wakuu.

Kutokana na kukua kwa teKnolojia, kazi nyingi huitaji matumizi ya kompyuta. Sasa jifunze njia za kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi na uhakika.Twendeni . . .

1. Kama column zako kwenye excell zimepandana ..
sulotion:bonyeza alt na O(O siyo zero) kwa pamoja, ukiachia bonyeza C ukiachia bonyeza A ..Kwisha kazi.

2.Kama maneno ya cell moja ya juu unataka kukopi cell zote zinazofuata chini ya cell hiyo

Solution: Bonyeza Ctrl na C kwa pamoja, ukiachia bonyeza shift na ctrl na pgdn(down arrow), zote tatu kwa pamoja, ukiachia bonyeza ctrl naV ...Kwisha Kazi.

3. Ukiwa na mradi mdogo au wakati unaohitaji kutunza record kwa Excell .......

Solution: Usijali tuwasiliane nikupatie software iitwayo Pastel Evolution, nitakupatia License ya mwaka mmoja kwa tsh.120,000/- (Laki moja ishirini elfu tu) inakuwezesha kufanya yafuatayo:

1.Kuimport budget yako uliyoandaa kwenye Excell na kuileta kwenye Pastel, Hivyo kila mwisho wa mwezi utajua kama umetumia ziada au pungufu kwani inalinganisha Budget v/s Actual to give variance

2. Inakupa top 10 ya Suppliers, top 10 ya customers na top 10 ya inventory hivyo kukupa taarifa za kufanyia maamuzi.

Kwa kifupi kama uko ofisi inayotumia kompyuta, tuwasiliane kwa ushauri wa bure juu ya software itakayopunguza muda wako wa kukaa ofisini wakati huo huo ikipunguza makosa katika kazi hiyo.

Simu:0713-039875
0784-976570
 
Back
Top Bottom