Ukifika getini muhimbili national hospital, utakuta mama mmoja kichaa mweupe hivi kiasi, sio mchafu sana kama vichaa wengine, ila anafanya vituko kama wafanyavyo vichaa wengine.
Tatizo langu, amebeba mtoto mdogo mgongoni, na wakati mwingine huwa anamuacha peke yake wakati anapoenda barabarani kufanya vituko vyake.
Nawaomba wote wanaohusika na haki za watoto wamchukue huyu mtoto jamani.
Mie nafikiri at one stage, kuna haja ya watu wenyewe kujitolea ku adopt watoto wa aina hiyo, tatizo nchi yetu na watu wake wabinfsi saana.Ukifika getini muhimbili national hospital, utakuta mama mmoja kichaa mweupe hivi kiasi, sio mchafu sana kama vichaa wengine, ila anafanya vituko kama wafanyavyo vichaa wengine.
Tatizo langu, amebeba mtoto mdogo mgongoni, na wakati mwingine huwa anamuacha peke yake wakati anapoenda barabarani kufanya vituko vyake.
Nawaomba wote wanaohusika na haki za watoto wamchukue huyu mtoto jamani.
tatizo nchi yetu na watu wake wabinfsi saana.
Ukifika getini muhimbili national hospital, utakuta mama mmoja kichaa mweupe hivi kiasi, sio mchafu sana kama vichaa wengine, ila anafanya vituko kama wafanyavyo vichaa wengine.
Tatizo langu, amebeba mtoto mdogo mgongoni, na wakati mwingine huwa anamuacha peke yake wakati anapoenda barabarani kufanya vituko vyake.
Nawaomba wote wanaohusika na haki za watoto wamchukue huyu mtoto jamani.
Mie nafikiri at one stage, kuna haja ya watu wenyewe kujitolea ku adopt watoto wa aina hiyo, tatizo nchi yetu na watu wake wabinfsi saana.