kesho nitakuwa humu. naaza darasa rasmi YeshuaHaMelech ameniahidi kunipa beginners tutorial. kama kuna mtu anataka kuja na elimu kuhusu python basi anakaribishwa hatutaki blabla za C++, C# sijui .net kama wewe unaona C++ ni nzuri basi fungua thread na uanze kusifia huko na si hapa. kwa kifupi naomba niulize swali. Nahitaji kuwa na nini kwenye pc yangu ili nianze tutorial za python. vile vile napenda kusoma pascal(Delphi) maana nimesoma mahali kuwa unaweza ku-convert python to Delphi. thow delphi imepitwa na wakati. ninauelewa kidogo na delphi.