Tuombe Mwana wa ADAMU aje upesi. Vitendo vya uovu huu vipo kila mahali. Si nchi tajili wala masikini, kote tu. Si dar wala Sumbawanga kote vipo tu. Watu wanafanya uchafu mpaka kwa wanyama. YESU KRISTO ana huruma sana, na ni mvumilivu, anaacha mtu aamue mwenyewe kumtumikia YEYE ama shetani. Lakini siku ya MWISHO yeye ndo atakayehukumu. Ukichunguza sana katika mjadala huu (wa cameron) utagundua issue ni kuutangaza?