Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,672
- 40,549
sijui ni kirusi wa aina gani huyu; katafuna CP yangu ya WindowXP Professional.. kanifungia toka Admin privileges, kabadilisha kila background; anazima ka kompyuta kangu every so time (nitake nisitake) halafu haniachi niingize Antispyware... sijui ni ile chumvi niliyomwagia au ndio mafisadi wanafanya vitu vyao tena..
mgosi wa kaya nene...! hii ndima inamambo!
mgosi wa kaya nene...! hii ndima inamambo!