Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
It's my birthday... yeah it is.. nafurahi kuiona siku ya leo baada ya misukosuko na kukwepa mishale mingi... namshukuru MUNGU kwa hili maana mmmnh...! ila sasa kwa upande wa pili manaake nimeongeza hatua zaidi kuelekea umautini...... dah...!! I hate this fact kwa kweli... na nikicheki kichwa kinazidi kuchukua rangi ya kilele cha mount Kilimanjaro....... matatizo madogomadogo ya kiufundi ya hapa na pale imekuwa ndo kawaida... oooh my God... nashukuru tu kuwa vile viungo visivyo na mifupa kama vile ulimi, macho, maini n.k bado viko imara kama vipya...... ila sasa dah... salaam ya mambo..!? nimeanza kuimiss na mashkamoo yamekuwa meeengi..... utadhani wakiniamkia wananipa na hela.... sio dalili njema kwangu hizi.... God forbid.. HAPPY BIRTHDAY TO ME........!!!!!!