Ogopeni mabamedi...

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Jana ulizuka ugomvi mkubwa sana hapa katika eneo letu tunapoishi.

jamaa alimtongoza bahamedi, bahamedi akakubali kwa sharti kuwa jamaa atampa shs. 21,000 baada ya ku-do.

Basi jamaa akampeleka kwake baada ya kutoka bar, wamefika home, wakaoga, then mambo mengine yakaendelea rejea makubaliano hapo juu.

Basi kumbe baada ya ku-do, wakalala jamaa kasinzia, demu kaamka akachukua simu ya jamaa akaficha, simu aina ya i-phone ya Milioni.

Asubuhi wameamka, demu anaaga kuwa anaondoka, jamaa anacheki simu yake haipo, ndipo akamuomba demu ampe simu yake, demu akasema yeye hana, mara hoo sikupi, kashitaki...

Watu tukajaa hapo, ndipo demu akasema, walikubaliana kuwa demu akimpa jamaa nyuma basi jamaa atampa simu yake yote yote, jamaa akakataa kata kata kuwa hawakukubaliana hilo na yeye hakumfanya nyuma kamfanya mbele, demu akasema twende hospitali madaktali wathibitishe...

Kwa busara tu na jamaa ni mtu wa heshima zake kazini kwake, ikabidi tumsihi tu kuwa amwachie hiyo simu ila laini au sim card apewe, jamaa akakubali.

Note: hawa mabahamedi ni hatari sana...yawezekana ndo mtindo wao huu wa kufanywa nyuma so wanapakazia wanaume wengine na kuwatia hasara.
 
kwa hyo jamaa anasingiziwa amekula 0713? umalaya noma
 
Ndo akome kuzoa zoa mizoga,mwanaume anaye jiheshim hawezi kulala na wauza nyapu.
 
huyo barmaid muda si mrefu mtakuja kusikia kabakwa na wanaume 20 mbele na nyuma!

mjini msingi kiuno, kitumieni vizuri sio kudhulumu ati!
 
bahamedi ni hatari sana

Kakudanganya nani? Wale wadudu ni watamu sijapata kuona. Afu wana maeksipiriensi unapewa utakacho kwa ufundi mkubwa. Zembe ni hilo bweg.e lililompeleka nyumbani. Keimamae zake, na likome.
 
''mabahamedi''?..halafu na wewe unaongeaga maneno makubwa mno
mi yananipa shida kuyasoma..
Kakudanganya nani? Wale wadudu ni watamu sijapata kuona. Afu wana maeksipiriensi unapewa utakacho kwa ufundi mkubwa. Zembe ni hilo bweg.e lililompeleka nyumbani. Keimamae zake, na likome.
 
Mkome Kendall huko mañana Yao hawafai ache ni michepuko.
 
Kweli baamaid noma, ila na wewe mleta mada ni mmbea sana, yaani umekaa ukatulia tulii ukabonyeza keypad zote izo kisa unatueleza mambo ya mtu binafsi na uzinzi wake...!! Acha izo banaa.
 
jamaa alikula king'amuzi??? hahahaahah iphone hiyoooooo imesepa.
 
Kweli baamaid noma, ila na wewe mleta mada ni mmbea sana, yaani umekaa ukatulia tulii ukabonyeza keypad zote izo kisa unatueleza mambo ya mtu binafsi na uzinzi wake...!! Acha izo banaa.

Kama ni mwanamke utajuaje? Wenyewe wanasemaga umbea kwao ni suna.
 
kwanini lakini nawe uchukue bamedi
mambo mengine mnayatafuta aise
 
Kakudanganya nani? Wale wadudu ni watamu sijapata kuona. Afu wana maeksipiriensi unapewa utakacho kwa ufundi mkubwa. Zembe ni hilo bweg.e lililompeleka nyumbani. Keimamae zake, na likome.

Hahahahahaha. Duniani kuna viumbe wanaitwa laanakum. Unawajua?
 
Kweli baamaid noma, ila na wewe mleta mada ni mmbea sana, yaani umekaa ukatulia tulii ukabonyeza keypad zote izo kisa unatueleza mambo ya mtu binafsi na uzinzi wake...!! Acha izo banaa.

Nina haki ya kutafuta, kupata na kusambaza habari i accordance of the law....
 
Kweli baamaid noma, ila na wewe mleta mada ni mmbea sana, yaani umekaa ukatulia tulii ukabonyeza keypad zote izo kisa unatueleza mambo ya mtu binafsi na uzinzi wake...!! Acha izo banaa.

Wabongo hapo ndo tunapokuwa watu wa kufurahisha, yani mleta mada angekuwa ametoa hayo maelezo mahakamani tungemwita "SHAHIDI" ila kayaandika hapa unamwita "m-mbea".

hii haina tofauti na wale watu ambao wakisema kitu wanataka ukubali tu, ukiwahoji wanakwita "m-bishi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…