We kweli ni Mangi. LolNa ingine muwe nayo makini ni hii style ya kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini mkwenye total wengi huwa hatujumlishi! wanaweka hivi
4 safari 4400
2 kili 2200
3 water 1500
6 soda 3000
2 bava 2600
Total 16700
Wakati bili ya kweli ni 13700 wengi huwa hatujumlishi tunaangalia idadi ya vinywaji tu. Kuwa makini.
Kuacha pombe........?!!
Washauri kwanza TBL au Serengeti breweries waache kutengeneza bia!
Teh teh mkuu, kichaa katoa wazo...!
Pombe ni kiburudisho maridhawa kikinyweka kwa wakati na kiwango kinachofaa.
Duuh! Unasubiri hadi ufanyiwe!! Be Proactive, man!! Sababu si kuwepo kwa pombe, bali ni wewe mtumiaji wa pombe.
Acheni pombe mjipunguzie matatizo!
Hata pale Matungucha-Kimara.
Kuna mhudumu mmoja balaa,mimi juzi nilienda pale na jamaa zangu wawili nikaagiza ngano jamaa maji nikampa noti ya 5,000/= wenzangu waliiona kabisa yule dada akarudi na chenji ya sh.300/= akadai nilimpa 2000 na sio buku tano hizi.
Yaani hawa wahudumu inatakiwa unapo mpa fedha umwambie unaona hii sh. ngapi? na chenji sh. ngapi lasivyo mmh!
Na ingine muwe nayo makini ni hii style ya kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini mkwenye total wengi huwa hatujumlishi! wanaweka hivi
4 safari 4400
2 kili 2200
3 water 1500
6 soda 3000
2 bava 2600
Total 16700
Wakati bili ya kweli ni 13700 wengi huwa hatujumlishi tunaangalia idadi ya vinywaji tu. Kuwa makini.
Hiyo ndio raha ya baa. Kinachotakiwa ni wewe mnywaji kuwa makini. Mhudumu mwenyewe mshahara wake hauzidi shs 20,000 kwa mwezi unadhani wanaishije? Mbona mnawatomasa tomasa ****** na matiti hawasemi? Si mnaona raha kutomasa? Wewe mshikeshike mara mbili tatu uone kama hataleta bili zaidi na kwa kuwa mlishajenga urafiki kwa wewe kumtomasatomasa utalipa tu. Ndio raha yake.
Duuh! Unasubiri hadi ufanyiwe!! Be Proactive, man!! Sababu si kuwepo kwa pombe, bali ni wewe mtumiaji wa pombe.
....Issue ikaishaje??
Kwani wote wanaoenda Bar wanakunywa pombe?Acheni pombe mjipunguzie matatizo!