D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 12,288 Reaction score 23,448 Oct 3, 2016 #1 Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana!
Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Oct 3, 2016 #2 Kazi tunayo
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Oct 3, 2016 #3 Sasa si wazi kuwa akili zao haziko sawa....
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,491 Reaction score 100,891 Oct 3, 2016 #4 Huyo wa Kwanza Bonge mbona anafanana na huyo Jirani yake hapo??
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,295 Reaction score 5,458 Oct 3, 2016 #5 Huyo Bonge nasikia alishafariki alikuwa anapatikana sana maeneo ya veterinary pale kwenye petrol station zinakopaki Tax.
Huyo Bonge nasikia alishafariki alikuwa anapatikana sana maeneo ya veterinary pale kwenye petrol station zinakopaki Tax.
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Oct 3, 2016 #6 hawa na wavaa milegezo kwangu wote ni wahuni tu wanaofanana,maana suruali inatakiwa ivaliwe kiunoni,full stop!
hawa na wavaa milegezo kwangu wote ni wahuni tu wanaofanana,maana suruali inatakiwa ivaliwe kiunoni,full stop!
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,325 Reaction score 7,533 Oct 3, 2016 #7 dmkali said: Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana! View attachment 411425 View attachment 411426 View attachment 411426 Click to expand... Kazi kweli kweli dunia na vituko vyake.
dmkali said: Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana! View attachment 411425 View attachment 411426 View attachment 411426 Click to expand... Kazi kweli kweli dunia na vituko vyake.
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,970 Oct 3, 2016 #10 The Boss said: Sasa si wazi kuwa akili zao haziko sawa.... Click to expand... Wengine wapo kazini eg. Comedians, Fashionists
The Boss said: Sasa si wazi kuwa akili zao haziko sawa.... Click to expand... Wengine wapo kazini eg. Comedians, Fashionists
Kutwa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 259 Reaction score 830 Oct 3, 2016 #11 Huyo mwenye mikanda miwili , sasa hiyo suruali au rubega.
B Bhampupile JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 810 Reaction score 637 Oct 3, 2016 #12 Sisi ofsn kwetu haingii w a kuvaa kituko hivi ataishia pale mapokezi tu.