Ogopa sana mwanamke wako akikuita ''dady''

Nakusalimia Bro in the name of Love,

daddy, Mac Alpho usipite huku tafadhali sana.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fikisha ujumbe huu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸ–πŸ–πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Telegram (5).jpg
 
Ndugu ..

Bila ya kupepesa macho

Taka usitake kuitwa "dady" na mwanamke wako ni ishara mbaya sana na ni dalili za wazi kuwa wewe siyo mpenzi wake au mume wake, bali wewe ni baba yake.

Sasa nyie endeleeni kuwazoesha wanawake zenu kuwaita "dady" huku mkizania ni sifa, kuvimba na kujiona mnajua kucare sana mtakuja kuachwa pabaya sana vijana

Ukweli ni kwamba ukiona mwanamke amevuka mipaka na kukuita dady fahamu kwamba unafuja mali nyingi sana kwake kiasi kwamba moyo wake na hisia zake zimehama kutoka mpenzi / mume mpaka zikakuona wewe ni baba yake mzazi, hivyo huna sifa zakuwa mwanaume (mume) wake.

Atakuita dady na chiu atakupa na utafanya kila kitu ila amini na kuambieni vijana utapigwa na kitu kizito mfano wa kisicho bebeka wewe endelea tuu kukaza fuvu.

Nb. Mwanaume wa kweli hawezi kukubali mwanamke wake akamuita dady, mwanamke akisha kuita "dady" piga chini
Shida yote hii ni njaa na umasikini tu, hakuna lingine
 
Huu uzungu wenu utawaua..........sisi wasukuma ni mwendo wa ngw'ana mbiti tu😩😩
 
Ndugu ..

Bila ya kupepesa macho

Taka usitake kuitwa "dady" na mwanamke wako ni ishara mbaya sana na ni dalili za wazi kuwa wewe siyo mpenzi wake au mume wake, bali wewe ni baba yake.

Sasa nyie endeleeni kuwazoesha wanawake zenu kuwaita "dady" huku mkizania ni sifa, kuvimba na kujiona mnajua kucare sana mtakuja kuachwa pabaya sana vijana

Ukweli ni kwamba ukiona mwanamke amevuka mipaka na kukuita dady fahamu kwamba unafuja mali nyingi sana kwake kiasi kwamba moyo wake na hisia zake zimehama kutoka mpenzi / mume mpaka zikakuona wewe ni baba yake mzazi, hivyo huna sifa zakuwa mwanaume (mume) wake.

Atakuita dady na chiu atakupa na utafanya kila kitu ila amini na kuambieni vijana utapigwa na kitu kizito mfano wa kisicho bebeka wewe endelea tuu kukaza fuvu.

Nb. Mwanaume wa kweli hawezi kukubali mwanamke wake akamuita dady, mwanamke akisha kuita "dady" piga chini
Mbona gafla
 
Ukiona huna hela na anakuita hivyo jua wewe upo kwa niaba ya kumdekeza, kumliwaza anapo zinguliwa na baby wake, kumsimamia akamilishe mishe zake, na kutumia mawazo yako kujinufaisha yeye binafsi yake then asepe kwa baby wake hapo baadae.

Haijalishi mbususu unapewa style hata zile za laana.

Piga chini

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inaonekana kuna jambo zito limekukuta, Kwahiyo unataka kuuaminisha umma uhalisia wa yaliyokukuta ndio uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.

Pole kijana.
 
Back
Top Bottom