Ogopa sana mwanamke mwenye tabia hii

Ogopa sana mwanamke mwenye tabia hii

unayosema mkuu ni ya kweli ila sio kwamba ipo hivyo siku zote mambo yanabadilika mkuu.......!!!!!!!!!!!
 
Changu hilo....Ashapigwa sana miti.

Honestly mwanamke ambaye kila wakati anafinya finya simu alaf texts zako anakujibu baada ya masaa ma 3.

Mtu ana post insta ovyo na fb.....hafwai na heshima nayo inashuka, hanifwai na wachana nalo haraka sanaaa.
 
Umenena mkuu
Changu hilo....Ashapigwa sana miti.

Honestly mwanamke ambaye kila wakati anafinya finya simu alaf texts zako anakujibu baada ya masaa ma 3.

Mtu ana post insta ovyo na fb.....hafwai na heshima nayo inashuka, hanifwai na wachana nalo haraka sanaaa.
 
Teh Hapo tunahisigi na kusema tu hivyo coz mapenzi yanakuwaga yamekolea. ila muache uone Kama hatoweza kuishi bila wewe
 
Wasalam wana jamvi,

Sina mengi ila kuwatahadharisha kuwa makini na mwanamke ambae hawezi kuishi pekeake lau kwa muda mfupi bila kuwa na mahusiano yakimapenzi! Yaani kama ni dmsichana wako halafu manapokuwa manakwazana kidogo ukamsikia anasema"Sasa nitaishije pekeangu? Mwenzio me ishiwezi ishi pekeangu!"

Akiwa naongea neno hilo serious basi ujue huyo dem hafai sababu mara nyingi wasichana kama hao huwa wametawaliwa na woga wa kupigwa chini,so ili kujihami basi atakuwa na mabwana si chini ya watatu! Tambua kuwa ukiwa mtu wa safari za mara kwa mara haliyakuwa unaishi na msichana au mke kama huyu basi hesabu maumivu ya kuchapiwa.

Binafsi yameshawahi kunikuta kama hayo ndio nilipogundua kuwa kumbe alikuwa anamaanisha kweli kuwa hawezi ishi bila kuwa na bwana baada yakugundua kuwa anatupanga zaidi ya wanne.

Shukran!

Hawez ishi bila mim kwa mm moyo wake
 
Back
Top Bottom