Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

Hii ni mada kwa waamini na waaminio.

Wenye imani juu ya vitu vya kiroho. Uponyaji, kinga, mvuto na na bahati kwa wenye shida za kiroho. Tunaweza kusema asili ya mafuta ya upako na maji ya baraka ni kanisa Katoliki. Hawa kwa sehemu kubwa sana ndio huvitengeneza hivi vitu, na utengenezaji wake si wa siri bali hufanyika hadharani madhabahuni kwenye ibada ya pamoja

Yaani kuna ibada maalum kwa ajili ya kutengeneza maji ya baraka ambapo malighafi ni maji na chumvi. Hivi ndio hufanyiwa ibada maalum na kutiwa nguvu ya uponyaji kinga nk. Na kuna ibada maalum ya kutengeneza mafuta ya upako/baraka ambapo malighafi ni mafuta ya mzeituni.. Olive oil.. Mafuta haya hutumika kwenye shughuli za kanisa kama komunio na kwenye ibada

Sasa tuna hawa ndugu zetu hawa almaarufu kama manabii na mitume wa 'makanisa ya kiroho ' hawa jamaa ni changamoto na kama wewe ni mmojawapo wa waamini wa hayo makanisa nisikilize kwa makini. Huku nako kuna maji ya baraka na mafuta ya upako lakini unajua vinapatikana wapi?

Vinatengenezwaje? Simulizi ya shuhuda mmoja inafumbua siri kubwa ambayo wengi hawaijui. Kuna namna tatu ama zaidi za kupata haya mafuta na hayo maji ya baraka. Njia ya kwanza kuyapata kwa njia yoyote ile yale ya kanisa Katoliki kwakuwa haya yana nguvu ya kweli kabisa kiroho.

Yanawindwa mno na hawa jamaa zetu. Njia ya pili ni kuyatumia hayo hayo ya kanisa Katoliki kwa kuyachanganya na vitu vingine vyenye asili ya giza, nguvu za giza. Njia ya tatu ni kwa kutumia manii na uchafu toka ukeni baada ya tendo la ndoa.

Yaani baada ya tendo la ndoa mara nyingi ikiwa ni mtume/nabii na mkewe kitambaa rasmi kinachotumika kujifutia manii na majimaji yoyote sehemu za siri hulowekwa kwenye ndio maalum ya maji/mafuta yakanuiziwa na siku ya pili hupelekwa kanisa husika na kubatizwa majina ya maji ya baraka na mafuta ya upako

Wengine hupakwa mafuta hayo na wengine hupewa maji husika na kuyanywa. Kumbuka hawapewi bure wanauziwa kwenye vichupa maalum...

Wote tunatambua ninini kilichomo kwenye tendo la ndoa, ama kwenye kufanya ngono. Tunatambua ni maroho mangapi hushiriki hapo. Ndio maana watu hufundishwa kuoga baada ya kumaliza. Ndugu zetu Waislam wanaita Janaba

Sasa wewe unapewa janaba na kujipaka mwilini ama hata kuinywa. Hapo unatambua unaalika mapepo mangapi? Mambo haya ya kiimani ni magumu sana na shida za kiroho ni nyingi. Wengi wetu kwa kukosa muongozo sahihi huenda sehemu ambazo badala ya kutatua tatizo huliongeza

Ukishakubali kuyatumia hayo mafuta yao na hayo maji yao, tayari unakuwa umeshajitengenezea makazi bora ya mapepo na maroho machafu na safari za kuanza kuzunguka kwenye haya makanisa ndio kwanza zitaanza rasmi. Na kila utakapoenda badala ya kusaidika utajikuta unaongezewa dozi.

Ni jambo jema kuwa mwamimi lakini ni vizuri kuwa na hakika na unachokiamini...

Nawatakia Pasaka njema.

Pole mshana
Nahisi kama umetoka kwenye ule uzi usemao

WALEVI WOTE TUKUTANE HAPA...
 
Tunaomba na kubarikiwa kwa JINA LA YESU pekee, na halihitaji msaada wa kitu kingine chochote ndugu yangu. Kote kwenye nyongeza ya jina la YESU ni upotofu. Yesu kielelezo chetu hakutuachia mafuta, maji wala kifaa kingine chochote.
 
.

istock_000003894799medium1.jpeg

Jr
 
Mie hawa matapeli huwa siwapendi kabisa kuwasikia wanakuja na majina mazuri ya kutapelia watu kama vile;
'mlima wa baridi'
'tractor'
'
 
Nyongeza ya hapo "Hakuna Mwanadamu atakayeweza kumuondolea matatizo binadamu mwenzake"
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi, Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14. Infact Bisola alikuwa right-hand man wake aliyekwenda nae kila mahali. Pia nimesikiliza video clips 32 zinazomhusu TB Joshua; Nimesoma articles mbalimbali zinazohusu sakata hili; Nimesikiliza mahojiano mbalimbali ya watu waliotajwa kwenye kitabu cha Bi Bisola Johnson; Nimefuatilia Tweets na page zao za social media; Nimesoma maelezo ya watoto wa marehemu waliokufa au kupotea wakiwa ndani ya Sinagogi la TB Joshua bila ndugu kupata maelezo ya kueleweka; Nimesikiliza maelezo ya watu maarufu wakiwemo wacheza mpira na wacheza filamu waliowahi kutekwa na uongo wa TB Joshua na kisha kujikuta wakimpa fedha nyingi bila sababu yoyote. Wacheza mpira waliotajwa ni pamoja na Nwankwo Kanu aliyewahi kuichezea timu ya Arsenal na Emmanuel Amunike aliyekuwa kocha wa Timu yetu ya Taifa Stars.

Nimefuatilia pia taarifa zinazohusu kesi zinazomkabili TB Joshua Afrika Kusini zilizofunguliwa na wazazi wa mabinti wadogo waliopelekwa kwake kwaajili ya kuombewa na kisha kufanya nao mapenzi; Nimefuatilia comments na maandiko ya watu wanaomtetea; Nikarudi pia kutazama clip za mahubiri na uponyaji katika Sinagogi lake; n.k, n.k. Ili kujumuisha naomba niseme yafuatayo:
1. Anaendelea kuamini kuwa TB Joshua ni Nabii wa kweli. Na kwamba anafanya miujiza ya kweli, basi ajue anafanya hivyo at his or her own risk! Kama ulienda kwake ukapona, basi ujue ni imani yako tu... siyo TB Joshua. Endelea kumuamini Mungu wako aliyekuponya.
2. Zile kauli za 'wametumwa wamchafue..' hapa hazina mashiko hivyo usikimbilie kijifunika na blanketi hilo.. Tulia. Omba hekima ya Mungu. Kumbuka Hypnosis (yaani kupumbazwa) is real.
2. Kama una maji yake, sticker, mafuta, au chochote chake, ni afadhali utupe tu. Inawezekana unaendela kujiunganisha na roho usizozijua.
3. Nawashauri wakristu wenzangu tuache kupenda miujiza kupita kiasi hadi kufikia kupumbazwa nayo. Tutulie, na kumtafuta Mungu katika Roho na Kweli. Siyo katika watu, miti, mapango, wala mahekalu...

Kwa anaetaka kusoma kitabu hicho kinapatikana Amazon. Amazon product ASIN 1983024570The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya ... "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo...." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube; au tembelea facebook page hii Deception of the age Unmasked

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni mada kwa waamini na waaminio.

Wenye imani juu ya vitu vya kiroho. Uponyaji, kinga, mvuto na na bahati kwa wenye shida za kiroho. Tunaweza kusema asili ya mafuta ya upako na maji ya baraka ni kanisa Katoliki. Hawa kwa sehemu kubwa sana ndio huvitengeneza hivi vitu, na utengenezaji wake si wa siri bali hufanyika hadharani madhabahuni kwenye ibada ya pamoja

Yaani kuna ibada maalum kwa ajili ya kutengeneza maji ya baraka ambapo malighafi ni maji na chumvi. Hivi ndio hufanyiwa ibada maalum na kutiwa nguvu ya uponyaji kinga nk. Na kuna ibada maalum ya kutengeneza mafuta ya upako/baraka ambapo malighafi ni mafuta ya mzeituni.. Olive oil.. Mafuta haya hutumika kwenye shughuli za kanisa kama komunio na kwenye ibada

Sasa tuna hawa ndugu zetu hawa almaarufu kama manabii na mitume wa 'makanisa ya kiroho ' hawa jamaa ni changamoto na kama wewe ni mmojawapo wa waamini wa hayo makanisa nisikilize kwa makini. Huku nako kuna maji ya baraka na mafuta ya upako lakini unajua vinapatikana wapi?

Vinatengenezwaje? Simulizi ya shuhuda mmoja inafumbua siri kubwa ambayo wengi hawaijui. Kuna namna tatu ama zaidi za kupata haya mafuta na hayo maji ya baraka. Njia ya kwanza kuyapata kwa njia yoyote ile yale ya kanisa Katoliki kwakuwa haya yana nguvu ya kweli kabisa kiroho.

Yanawindwa mno na hawa jamaa zetu. Njia ya pili ni kuyatumia hayo hayo ya kanisa Katoliki kwa kuyachanganya na vitu vingine vyenye asili ya giza, nguvu za giza. Njia ya tatu ni kwa kutumia manii na uchafu toka ukeni baada ya tendo la ndoa.

Yaani baada ya tendo la ndoa mara nyingi ikiwa ni mtume/nabii na mkewe kitambaa rasmi kinachotumika kujifutia manii na majimaji yoyote sehemu za siri hulowekwa kwenye ndio maalum ya maji/mafuta yakanuiziwa na siku ya pili hupelekwa kanisa husika na kubatizwa majina ya maji ya baraka na mafuta ya upako

Wengine hupakwa mafuta hayo na wengine hupewa maji husika na kuyanywa. Kumbuka hawapewi bure wanauziwa kwenye vichupa maalum...

Wote tunatambua ninini kilichomo kwenye tendo la ndoa, ama kwenye kufanya ngono. Tunatambua ni maroho mangapi hushiriki hapo. Ndio maana watu hufundishwa kuoga baada ya kumaliza. Ndugu zetu Waislam wanaita Janaba

Sasa wewe unapewa janaba na kujipaka mwilini ama hata kuinywa. Hapo unatambua unaalika mapepo mangapi? Mambo haya ya kiimani ni magumu sana na shida za kiroho ni nyingi. Wengi wetu kwa kukosa muongozo sahihi huenda sehemu ambazo badala ya kutatua tatizo huliongeza

Ukishakubali kuyatumia hayo mafuta yao na hayo maji yao, tayari unakuwa umeshajitengenezea makazi bora ya mapepo na maroho machafu na safari za kuanza kuzunguka kwenye haya makanisa ndio kwanza zitaanza rasmi. Na kila utakapoenda badala ya kusaidika utajikuta unaongezewa dozi.

Ni jambo jema kuwa mwamimi lakini ni vizuri kuwa na hakika na unachokiamini...

Nawatakia Pasaka njema.
YALE MAJI YA BARAKAA ROMAN N MKOJO ULE AMA.MA?!
 
Mshana Jr Wee jamaa una maarifa mengi sana. Sijui kwanini sikuuona huu uzi mapema nimwoneshe dada yangu mmoja hivi ni mnazi sana wa hao makanjanja.
 
Back
Top Bottom