Ogopa sana .Cerber3 ransomware virus

Ogopa sana .Cerber3 ransomware virus

Kwani wanataka Bei gani?

Payment channels wameweka zipi na zipi?

Kuna mdau hapa JF aliwabembeleza kwa kuwambia hali ya uchumi wa nchi yetu na wakamtumia Program ya kuzifungua!

Jaribu kuwalilia wanaweza kukuachia ila kama pia wamedai hela kidogo fanya uwape maana lengo lao kiyafunga ni ili wapate pesa ukishawalipa

Ila haya yote ni kama una Value hayo mafile na hauna uhakika wa kuyapata hayo mafile tena bila kuingia gharama kubwa!
Wanatumia bitcoin kulipwa, hapo tunaongelea deepweb, pia wanaclaim pesa mingi sana, abt 150usd
 
Hii inawapata sana watu mnaofanya illegal stuffs online, unapokua unavamia torrents, pirate movie sites au kutumia flash za watu mara kwa mara, alafu unatumia windows na hauna protection yoyote ile basi una matatizo.

Pitia google nadhani utapata njia ya kudecrypt, lazima kuna antivirus company itakua ime-reverse engineer kujua encryption algorithm wanayotumia hawa jamaa na kujaribu ku-decrypt. Pole sana kwa yaliyo kukuta, ningekua ni wewe ningeformat kila kitu na kuanza tu upya.
Yaaah ni kweli, c haikuwa na antivirus pia kwa sasa hakuna kampuni yene uwezo wa kudecrypt .cerber3 files, only wao wenyewe ndio waanuwezo, ila zipo kampuni nyingi kama trend micro titanium zina uwezo wa kudecryp ransomware nyingi ikiwepo cerber1 .

Nimefanya maamuzi magumu, nimeformat kila kitu, ntaanza kudownload na kuread mafile mapya kwa, simu za marafiki tu
 
Labda ungei restart hiyo pc kwenye SAFE MODE kisha kama mafiles yangekuwa salama ungeyacopy kwenye external
 
Unaweza kuzuia hii kitu ni kwa kutumia tu Ant-ramsonware kwenye pc yako, au ukishindwa kabisa tumia anti-virus ambayo ni strong.
 
Vipi kwenye Linux Distros wanaweza penya maana kila changes inayotaka kufanyika mpaka authentication.
 
Labda ungei restart hiyo pc kwenye SAFE MODE kisha kama mafiles yangekuwa salama ungeyacopy kwenye external
Cerber3 walishalamba solution ni ni kuformat tu , au kama una roho ngumu ni kujitoa mhanga wa kuwalipa tu.
There is no way u can restore or decrypt the files.
Stay safe. Tafuta antivirus nzur kaam kaspersky au trnd micro titanium, bit defender
 
Sina utaalamu na linux , kwa hilo siwez kusema chochote mkuu
Kosa kubwa ni kutokuwa na backup, kama ndio vitu vinakupatia tonge la ugali ni vyema kuwa na backup ila wengi hupuuzia hili swala, pole sana.
Na backup ni vema uwe nazo za aina mbili kwenye external hdd (ingawa nayo kushambuliwa ni rahisi) na nyingine ni DVD wengi wanaidharau hii ila ni safe sana kuliko hata external HDD, kama una mafaili ya 150GB unanunua mkebe wa DVD empty 50 za 4.7gb unahifadhi zako pembeni. Bluray empty sijaziona sana ila nazo ni nzuri kwasababu zipo mpaka za 50GB per disc.
 
Back
Top Bottom