Ogopa mke wa mtuu..

kulaleki! Unaleta usanii kwa mke wa mtu lazma uone cha moto kilichomfanya mkulu aote tezi dume
 
Pacho Mwamba wa FM Academia!?
 
Hizo bia ameanza kunywa jana? Huyu patcho si ndio namuonaga anaomba omba Heineken kwenye sehem za starehe? Mbona hizo allergy hazikumpata ila leo?
 
alikunywa bia.zikamletea alregy. sasa wa Tz kuzusha acheni tu.kwenye wall ya kitime na yake mwenyewe patcho wamesema hivyo

Wewe unaemtetea kama nani....??
Kuwadi wake...
Hawara yake...
Mke wake....
Au msemaji wake....
 
Aleje yakitu alicho kula au kupaka. Angalieni hapo kwenye kifua na mdomo ulivyo vimba.
 
alikunywa bia.zikamletea alregy. sasa wa Tz kuzusha acheni tu.kwenye wall ya kitime na yake mwenyewe patcho wamesema hivyo
A cha ungese allergy jicho moja lakulia linasinyaa lingine linahema acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…