Karibu nyumbani kwangu Rebeca, ntakupikia utakula na ukimaliza kula nitaosha vyombo.,,,wengi wameshazoea kukaaa wenyewe,kujipikia kujifulia,na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly...................sasa wewe jisogeze uumie hisia.......
Imekutokea Leo?,,,wengi wameshazoea kukaaa wenyewe,kujipikia kujifulia,na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly...................sasa wewe jisogeze uumie hisia.......
Umeua mkuu.bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Acha wehu wewebachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P

Ukisika pooh ujue limempata.Acha wehu wewe![]()
![]()
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
noumer sanaaaabachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....
Ni choice tu, mbona wengine wanakwenda na wana watoto, kule unakutana na watu wa age yako,breakfast on time.ngoja ufikie umri wa kwenda nursing home 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀