Ogopa huyu Mtu Hatari Ibrahim-0754 962052

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
668
Reaction score
426
Huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.

mfano wa meseji zake:

Habari, Am Ibrahim From YOUTH PROGRES Dsm, Am In a Cv Review Meeting For Research Assistant Post Nimeona Cv Yako Its Gud, lets do a Deal. Nakusaidia Upate Hii Kazi this Week, Ukipata Ur First Salary Utanipa Laki 4, Salary Is 1.8 Million. Kama Umeafiki Tuma Sh. Elfu 30 Nimpe HR Manager Ili Akupitishe Anataka Laki 1 me nina Elfu 70 tu Tuma By M-pesa to 0754 962052 tuma Kabla Ya Saa 10 Jioni. kwa sasa siwezi kuongea nitakupigia simu nikitoka kikaoni.
 
Kwahiyo anakua na database ya watu waliopeleka maombi ya kazi katika sehemu fulani sio???
 
hivi watu bado wanaibiwa kwa staili hii
 
Huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.

mfano wa meseji zake:

Habari, Am Ibrahim From YOUTH PROGRES Dsm, Am In a Cv Review Meeting For Research Assistant Post Nimeona Cv Yako Its Gud, lets do a Deal. Nakusaidia Upate Hii Kazi this Week, Ukipata Ur First Salary Utanipa Laki 4, Salary Is 1.8 Million. Kama Umeafiki Tuma Sh. Elfu 30 Nimpe HR Manager Ili Akupitishe Anataka Laki 1 me nina Elfu 70 tu Tuma By M-pesa to 0754 962052 tuma Kabla Ya Saa 10 Jioni. kwa sasa siwezi kuongea nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

huyu mbona naafanya utapeli wa kizamani maana watu washamsoma kuwa hamna kitu hapo ni full utapeli.....
 
Hivi kazi ya polisi na TCRA ni nini?.
Siku hizi hiyo namba tayari yatosha kumshitaki mtu huyo mahakamani kwa utapeli.
Tatizo polisi wetu wanasubiri raia wapeleke mashitaka ndio waanze kufanya kazi.
 
Huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.

mfano wa meseji zake:

Habari, Am Ibrahim From YOUTH PROGRES Dsm, Am In a Cv Review Meeting For Research Assistant Post Nimeona Cv Yako Its Gud, lets do a Deal. Nakusaidia Upate Hii Kazi this Week, Ukipata Ur First Salary Utanipa Laki 4, Salary Is 1.8 Million. Kama Umeafiki Tuma Sh. Elfu 30 Nimpe HR Manager Ili Akupitishe Anataka Laki 1 me nina Elfu 70 tu Tuma By M-pesa to 0754 962052 tuma Kabla Ya Saa 10 Jioni. kwa sasa siwezi kuongea nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

thanks kwa info ila wabongo tumeathiriwa na shortcut aisee..
 
Aisee balaa hilo., hiyo post ni ya COSTECH labda jamaa huyo atakuwa ni mfanyakazi wa hapo..Duh pole sana kama amekuingiza mjini..:A S thumbs_down:
 
Hivi kazi ya polisi na TCRA ni nini?.
Siku hizi hiyo namba tayari yatosha kumshitaki mtu huyo mahakamani kwa utapeli.
Tatizo polisi wetu wanasubiri raia wapeleke mashitaka ndio waanze kufanya kazi.

police wako bize na Siasa
 
Hivi kazi ya polisi na TCRA ni nini?.
Siku hizi hiyo namba tayari yatosha kumshitaki mtu huyo mahakamani kwa utapeli.
Tatizo polisi wetu wanasubiri raia wapeleke mashitaka ndio waanze kufanya kazi.
Polisi wanawashughulikia CHADEMA.
 
Duh, me ilikuja hii, thank God alivyotaja tigopesa tu, nikashtuka na wala hakupokea simu yangu,

"Habari, naitwa Shafii From Inspire construction ltd Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Civil engineer. I Like your Cv na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, Mshahara ni 1.5 Million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa Sh. Laki 3 for helping you, If you agree do the following, By saa 10 Jioni uwe Umetuma Scaned Copy Ya vyeti Vyako to africfuture@gmail.com Na Sh. Elfu 35 by Tigo pesa kwenye namba hiihii au M-pesa 0768978077 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for Interview. "
 
karibu mjini
hakuna kazi unayotakiwa utoe hela duniani ili uipate
 
Huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.

mfano wa meseji zake:

Habari, Am Ibrahim From YOUTH PROGRES Dsm, Am In a Cv Review Meeting For Research Assistant Post Nimeona Cv Yako Its Gud, lets do a Deal. Nakusaidia Upate Hii Kazi this Week, Ukipata Ur First Salary Utanipa Laki 4, Salary Is 1.8 Million. Kama Umeafiki Tuma Sh. Elfu 30 Nimpe HR Manager Ili Akupitishe Anataka Laki 1 me nina Elfu 70 tu Tuma By M-pesa to 0754 962052 tuma Kabla Ya Saa 10 Jioni. kwa sasa siwezi kuongea nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

hali ngumu ya maisha, ila hao washenzi sana
 
me nina ya kwagu nitaipresent next week,shortly n kwamba hawa wat wapo weng sana hapa town so issue ni kuwa makn ila me nkibahatka kumpata m1 macho yke yatakuwa halal yangu.
 
HIYO HAPO NYINGINE NO...YAKE 0765377506 ni tapeli -------- kuliko wote duniani huyo
 
ukitrace namba ,kweli anaitwa ibrahim
Hao matapeli wanatumia majina ya watu hata katika registration ya chip za simu ambayo si ya kwao.Mfano hata mimi jina langu lishawahi kutumika na nilipojaribu ku trace zile namba tigo na voda zilionesha jina langu na la mzazi namba ya pili jina langu na la ukoo ambayo yapo katika CV.Nadhani kuna matangazo fake ya kazi yanatangazwa unapowapa CV wao wanaifanyia usanii wao huo.Ninahakika mtu hawezi kutumia jina lake katika kipindi ambacho technology imekuwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom