Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,826
- 730,265
Mambo yanayotokea Dodoma kwenye vikao vya CCM yakiendelea hivyohivyo mpaka jumatatu tutegemee kuwa na CCM B
Uhai wa aidha CCM A ama B utategemea fukuza fukuza itaegemea upande gani....mambo yakifanyika rational kwa haki kabisa bila agenda yoyote ile ya ukabila ukanda dini mitazamo na nguvu ya ushawishi basi CCM A itabaki salama na hao wengine kukimbilia upinzani japo watapitia kipindi kigumu mno kutokana na mizengwe watakayofanyiwa! Ambao ni wafanyabiashara ndio wataumizwa hasa
Ila Kama itatumika bashite style ya kubebana na kulindana kulikopitiliza na ule UCHURO wa hawa ni wa 'KASKAZINI' tutarajie movement mpya itakayojumuisha na wale wote waliotumbuliwa kwenye taasisi mbalimbali
Kuna hatari kwenye hili kwakuwa CCM A inajishape kutimiza malengo ya mbali ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI, huku CCM B OG ikitaka kuwin majority na kulipa visasi... Hizi CCM zote mbili ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa hili
Tutarajie vifo vya ghafla watu kuwekwa kizuizini na wengine kupotea(zwa)katika mazingira ya kutatanisha
Kumbukeni pia kutakuwa na mamluki kila upande bila kusahau CCM B ya zamani ambayo nayo itakuwa na maslahi mapya kwenye hizi CCM zijazo
Ngoja nikawahi haramu mpya mie ndio mida yake hii......