Ofisini mkiwa na boss anayependa bata mnapata hela

Ofisini mkiwa na boss anayependa bata mnapata hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,702
Reaction score
57,185
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa.

Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week iliyopita bado anayo hakika mtasubiri sana.

Kwanza unakuaje boss na huli kitimoto haya hata kama shisha huvuti wala kunywa heineken ama black and white ama hanson choice ama konyagi ama safari je ndo hata kuhonga 20000 kwako kipengele.?hela zinataka ziishe njaa ije ili akili ifanye kazi.
 
8BD01C1B-183E-4715-AA20-49D441CA0D77.jpeg
 
Wengi huwa wanawiminya sana na kuwanyanyasa staff wa kiume ili wabane pesa ya kuenjoy na vidosho wa kike
 
Back
Top Bottom