Ofisini hakukaliki: Secretary ameliamsha Dude

Toka lini mtoto akafundishwa kunyonya ziwa la mamaye???😱😱😱
 
Mkuu unazingua, mweleze ukweli na upige kabisa vingnevyo ataendelea kukuletea mbwembwe

WANAUME WA DAR BHANA
 
umaskini wako ndo hnakufanyaa ufikiriee ilaa ungekuwaa na mambo ya kufanyaaa hata papuchi kukumbukaa usingeiwaziaaa kilaa kitu kina mudaa na kiasi usingizieee uanaumee ni ukosaji wa kazi na kukosaa cha kufikiriaa
una mwandiko kama wa jemsi delishaz akiandika lazima aoneze aa ee oo ]na kuendelea
 
Daaaaa, amekwapua taulo wakati unatoka bafuni? Mgegede tu si anataka mwenyewe. Mlio oa masecretary polen sn tunaona mengi maofisini hadi tunawahurumia
 
Yani kajipitisha hujamshika hata nundu.LAWAMA CHEO,kula mzigo huoooooooo
 
Si umshikishe meza hapo hapo ofisini mkuu! Kwa nini upate shida?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…