Ofisi za Wakala wa Tecno Mobile hapa Dar ziko wapi?

dapam

Senior Member
Dec 19, 2014
108
37
Kwanza nawasalimia.
Naomba kuelekezwe zilipo ofisi za wakala wa TECNO MOBILE hap Dar es salaam.
Ahsanteni sana
 
Kwanza nawasalimia.
Naomba kuelekezwe zilipo ofisi za wakala wa TECNO MOBILE hap Dar es salaam.
Ahsanteni sana
Mawakala wapo wangi, service centre ipo mija pale nhc house samora avenue
 
Kwanza nawasalimia.
Naomba kuelekezwe zilipo ofisi za wakala wa TECNO MOBILE hap Dar es salaam.
Ahsanteni sana

kama ni tatizo la kiufundi techno wanawakala wao wakutatua matatizo yote ya kiufundi anaitwa

carlcare Service Center.
opposite na kituo cha polisi, msimbazi street.
kariakoo-dar es salaam.

jengo linarangi kama blue bahari hivi, floor ya pili pale

watakutengenezea simu ya techno na itel bure kabisa ndani ya masaa 72.

kama unataka mawakala wa kuuza techno mobile phone,

NHC House, Mkabala na JMall, Mtaa wa Samora.
 
Hv ukisema mawakala wa tecno maanake nn wakuu kama cjaelewa vile!!

Pale nhc gorofa ya ngapi? Na je kama nataka kuagiza simu kupitia hao mawakala inawezakana? Nana anambie ukwel wa haya mambo maana mie mgen kidogo
 
Back
Top Bottom