Ofisi za serikali safari imeanza Dodoma???

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,079
2,261
Leo tumemsikia kwa mara nyingine mheshimiwa rais akisisitiza kwa kuishauri tume ya taifa ya uchaguzi, kujenga Dodoma,

Je hizi ni ishara kwamba, serikali imeanza kuhama taratibu kwenye jiji pendwa la Dar?

Je ina maana mheshimiwa Magufuli atauweza kuutafuna mfupa mgumu uliowashinda watawala wengine wa kuuona ukweli uliomfanya Baba wa taifa kutangaza kuwa Dodoma inafaa kuwa makao makuu ya nchi?
 
Back
Top Bottom