Ofisi za NECTA zipo wapi?

Boss Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
458
Reaction score
995
Wakuu naombeni usaidizi hapa, hii karatasi nimeambiwa nipeleke Baraza za mitihani Tanzania

Kuna ndugu yangu anasoma Kenya ila ni mtanzania hivyo hawezi kufanya mtihani wa form 4 kule Kenya hadi awe verified hapa Tanzania

So kama kuna usaidizi wa kurahisisha mambo au nipitie wapi naomba muongozo kwasababu hata hizo Ofisi zenyewe husika ninakotakiwa kupeleka hizi documents sizijui zilipo

Documents ambazo ninazo ni:

Cheti Cha shule Cha Darasa la Saba
Cheti Cha kuzaliwa
Na hio Barua ya shule anayosoma Dogo

Thanks

 
Kama uko DSM,tauta gari yoyote ya Bunju, tegeta, kamwe mbweni na makumbusho inayopitia Mwenge shuka Bamaga jirani n TBC ,Star times jirani na TIE.
 

OFISI ZIPO BAMAGA OPPOSITE OFISI ZA STARTIMES KIJITONYAMA, BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI KUTOKA MORROCO KWENDA MWENGE
 
Kama uko DSM,tauta gari yoyote ya Bunju, tegeta, kamwe mbweni na makumbusho inayopitia Mwenge shuka Bamaga jirani n TBC ,Star times jirani na TIE.
Shukrani mkuu nimefika ila sidhani kama nitafanikisha Leo....Kuna foleni kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…