Kirefu cha NACTE ndo nn vile??...
wakuu
Ofisi za TCU & NACTE kwa dar es salaam ziko wapi. Nisaidie safari yangu ikianzia ubungo
TCU wapo mikocheni., km upo ubungo panda magari ya mwenge-makumbusho then shuka sayansi,. Ukifika sayansi panda bodaboda pale waambie wakupeleke TCU siyo mbali Kwa pale na ni karibu na tpdc.,
Zote zipo mwenge
Kirefu cha NACTE ndo nn vile??...
division5 iko kazn..
kwa kutumia Samnujuma Road, TCU iko ktkt ya Ubongo na Mwenge upande wa kushoto kabla hujafika Mlimani city. walishahama maeneo ya sayansi kama bodi ya mikopo walivyohama msasani na kwenda ktkt ya Ubungo na Mwenge.wakuu
Ofisi za TCU & NACTE kwa dar es salaam ziko wapi. Nisaidie safari yangu ikianzia ubungo
hapana mkuu, TCU walishahama mikocheni. sasa wako ktkt ya Ubungo na Mwenge kabla hujafika Mliman City. angekua na smartphone, angeingia google map na akapata uelekeoTCU wapo mikocheni., km upo ubungo panda magari ya mwenge-makumbusho then shuka sayansi,. Ukifika sayansi panda bodaboda pale waambie wakupeleke TCU siyo mbali Kwa pale na ni karibu na tpdc.,
Samunujoma sio samujuma.kwa kutumia Samujuma Road, TCU iko ktkt ya Ubongo na Mwenge upande wa kushoto kabla hujafika Mlimani city. walishahama maeneo ya sayansi kama bodi ya mikopo walivyohama msasani na kwenda ktkt ya Ubungo na Mwenge.
asante mkuu kwa masahihisho. ngoja ni edit ili mhusika apate kile nilichomaanisha.Samunujoma sio samujuma.
Niliwahi kusikia zipo kwenye chuo cha Ufundi Arusha (ATC)kwa arusha hizi ofisi zipo mtaa ganii msaada pliiiz
Namaanisha ofisi za NACTE
Sam NujomaSamunujoma sio samujuma.