Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,928
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo


Hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dalili ya bangi ya Njombe iliyovutwa kisirisiri hapa!
 
Mimi siamini hii kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiiwe ana visa. Nilidhani anatania duh! Hapo ukienda kuapply kazi unapata fasta.
 
Haya mambo ni kama yale ya wafuasi wa Kibwetere kutii kila wanaloambiwa na kiongozi wao hata kama halina logic!
Tunapaswa kuchukua hatua (hasa hao wanaojiita ccm) nchi inaangamia kwa kwa kupewa rungu nanihii!
Eitha tusaidiane tumnyanganye au tumshangilie kwa vile kavaa jezi ya Yanga huku anatwanga marungu watoto wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapaswa kuchukua hatua (hasa hao wanaojiita ccm) nchi inaangamia kwa kwa kupewa rungu nanihii!
Eitha tusaidiane tumnyanganye au tumshangilie kwa vile kavaa jezi ya Yanga huku anatwanga marungu watoto wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunacheka; ukweli ni kuwa huyu bhana kuba akili haipo sawa! Hii bangi ya gizani tuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…