KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,900
- 36,222
Nipo hapa maeneo ya karibu na JOSAM HOUSE.....naona askari polisi wa kumwaga wamelizunguka lenye ofisi za Majembe Auction mart......
Kama kuna mtu mwenye fununu za kujua nini kinachoendelea anaweza akaendelea kutujuza wadau.....
Nimeshindwa kupiga picha kuwa kuhofia usalama wangu....
Kama kuna mtu mwenye fununu za kujua nini kinachoendelea anaweza akaendelea kutujuza wadau.....
Nimeshindwa kupiga picha kuwa kuhofia usalama wangu....