Ofisi za DHL zipo wapi Mbeya?

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Habari wadau?

Naomba kujuzwa kama DHL wana branch Mbeya na ofisi zao ziko wapi?

Kama wahusika wanasoma uzi huu basi acheni namba hapa.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom