nimekuwa najiuliza kuwa huu mladi wa mabasi yaendayo kasi ukikamilika itakuwa inajiendeshaje?chini ya serikali au itapewa mamlaka kama bandari,tra,tazara?na je ajira zake zitakuwa?naomba mnijuze kwani nina hamu sana kufanya kazi kwenye mladi huu pindi utakapoanza kwa ngazi ya menegement,.nina taaluma ya operations in traspotation toka zambia,.