Ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa - tujiulize | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa - tujiulize

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Sep 11, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Naaam
  Kwanza tujipe pole pole watanzania wote kwa msiba na wa ajali ya meli na zaidi kwa wale walioguswa moja kwa moja kwa kupoteza na ndugu , jamaa na marafiki .

  kama kawaida sisi "watazamaji" kazi yetu ni kukumbusha, kuhoji, kukossoa na kusifia yale yaliyofuata baada ya janga.

  Sasa swali na hoja yangu ni kutoka kujua je kitengo cha Maafa ofisi ya waziri mkuu(Nadhani na zanzira kipo chini ya ofisi ya waziri kiongozi) dhumuni na wajibu wake mkubwa ni nini?
  • Kusbiri majanga yatokee ili waote sanda na rambi rambi na kutangza maombolezo
  • Kuanisha maneneo yahohiytaji ungaliaizi wa hali ya juu na hivyo kusaidia kuzuia au kupunguza maafa ya majagan kabla au baada ya kutokea ?
  Kifupi napenda kujua kitengo cha MAAFA ofisi wa waziri mkuu MISSION, VISSION na strategy zake ni nini?
   
 2. k

  kabombe JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,580
  Likes Received: 8,520
  Trophy Points: 280
  Acha uvivu gonga hapa The United Republic Of Tanzania -Prime Minister's Office
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aksante mkuu kumbe on paper tuko salama na majanga mengi. lakini kivitendo ndio ilipo shughuli

  Sababu sijawai japo kusikia tahadhari may be kwa miezi fulani yenye upepoo mkali hawa jama wakishirikiana na Kitengo cha hali yhewa kuwatahadrisha n kuwasistsiza watu wanaotumia vyombo vya maji iwe ni baharini au ziwa victoria au Tanganyika kuwa makini.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nafikiri muuliza swali alikuwa hajui kama kuna mtandao unaoelezea mambo ambayo hayaoni wala kuyafahamu on ground. Ningekuwa mimi ningehoji tafsiri ya kitengo ya maafa kwa nini kisiitwe KITENGO CHA MAJANGA. Na tusiishie hapo tufanye ammendment kiitwe kitengo cha kuzuia MAJANGA?. Maana maafa inafanya watu walale na kusubiri maafa wapate justification ya kuchota pesa kwa mambo yao.
   
 5. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  [​IMG]
  i

  Hawa wazungu walikuwa taaban kusaidiana na ndugu zetu kutafuta maiti na watu walionusirika

  [​IMG]


  Then VODACOM waliamua kuwa bize kufanya yafuatayoooo

  [​IMG]

  wakati mnahangaika kutafuta Maiti za watoto wenu na ndugu zenu hawa walisema watakaosa pesa na wataingia hasara kubwa so wakaendelea kujirusha kama kawaida
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Walaumi na walioingia ukumbini wakati Taifa liko kwenye maombolezo
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watalii hao walikuwa na uwezo wa kukaa vyumbani mwako lakini tazama wanavyoaangaika
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu sio kwamba sifahamu ikabisa . Nilijaribu kutafta link hii nikaikosa lakini msingi wa kuleta mjdala huu ni kuuliza msisitizo wa hii IDARA uo wapi. Kwenye kusghulikia majanga na maafa yakitokea au pia wanwea effor zao kwenye key areas amabzo znaweza kueleta majanga na kuwashtua wahusika mapema

  So far nimeona kwenye maelezo ya makaratasi. tuko salama kabisa. Sasa tujiulize na tuwaulize
  • kuna ripoti gani na zinatoka kila baada ya muda gani kwa hali ya usalama kila ziwa, na baharini ?
  • Je kipindi cha kipuwe na upepo mkali baharii na kwenye maziwa kuna kampeni maalum ya kuwatadhirisha watu na watumiaji ? Kuna survey maalum inafanyika kipindi hiki.? Kuna utafiti wa makini wa hali ya hewa unafanyika kipindi hiki nauwaiati habari wahuika?
   
 9. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hicho kitengo si lolote si chochote! Ni ulaji wa watu tu.
   
Loading...