Wamekaa kaaje kwaniHawa jamaa mimi ndio nimewajua leo,wamekuja hapa ofisi za NAOT Dodoma,wametulisha kiapo cha utunzaji siri za serikali,wametuchukua fingerprint na kutujazisha mafomu kibao kwa ajili ya vetting..
Walivyo kaa kaa tu nadhani ni wing ya TISS hii.