Ofisi ya Spika yakanusha uvumi juu ya afya ya Spika Job Ndugai

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wakuu Spika yu bukheri wa afya, huko India anaendelea vyema na ametutakia sisi wa Tanzania wenzie Mfungo mwema wa Ramadhan akitengemaa atarejea nyumbani

index.jpeg
 
Sijaelewa walicho kanusha hapo ni nini! Wanaanza kwa kusema hali yake ni njema kabisa, kisha wanaeleza kwamba anafanya uchunguzi wa afya yake huko India kadiri ya maelekezo ya daktari wake, kisha wanamalizia kwa kututaka tumwombee ili afya yake iweze kuimarika mapema ili aweze kurejea nchini!!! Hiyo syllogism imekaaje?
Kwahiyo ni siasa??
 
When the major statement is wrong, whatever good the minor/middle statements might be, the conclusion will be wrong! nilifundishwa katika philosophy/psychology
 
Yaani ofisi ya bunge imejidhalilisha mkuu.Sasa ndo wamekanusha nini na kukubali nini?Hivi hakuna watu wa kuhariri habari kabla ya kuitoa kwenye vyombo vya habari?
 
Sijaelewa walicho kanusha hapo ni nini! Wanaanza kwa kusema hali yake ni njema kabisa, kisha wanaeleza kwamba anafanya uchunguzi wa afya yake huko India kadiri ya maelekezo ya daktari wake, kisha wanamalizia kwa kututaka tumwombee ili afya yake iweze kuimarika mapema ili aweze kurejea nchini!!! Hiyo syllogism imekaaje?
HALAFU PIA HIYO BARUA LUGHA YAKE MBONA KAMA HAIJAKAA VIZURI mwezi ramdhan ndio upi? afya imalike ndio nini?
 
Duu sasa hapa wamekanusha nini ? Angekua yupo Dodoma na sio India kama watu walivyosema mwanzo basi kanusho lao lingeleta maana
 
When the major statement is wrong, whatever good the minor/middle statements might be, the conclusion will be wrong! nilifundishwa katika philosophy/psychology
The Major and the Minor Primises reflect the Conclusion
The Major Premise:Hali ya Mh.Spika ni nzuri,ameenda India kutazamwa afya yake kwa maelekezo ya Dr wake
The Minor Premise:Wenye nia njema tumuombee afya yake iwe sawa na arudi kuendelea na majukumu

Conlusion:Mh Spika afya yake si nzuri,yanayosemwa mtandaoni si "nia mbaya kwa spika" bali ni taarifa isiyo na chanzo "rasmi"...Chanzo kisicho rasmi hakiondoi ukweli wa story
 
Back
Top Bottom