Habari wananchi wenzangu ninaomba kuuliza maana sielewe, kwani ofisi za serikali ya mtaa Oysterbay imefungwa? maana toka jana mchana mpaka wakati huu hakuna mtu ofisini na kila nikipiga namba zao hazipokelewi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.