BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,010
ofisi ya rais Kikwete yatumika kupora kiwanja:
Nimeiweka kwa uchungu jamani kuona sasa wenye pesa bila aibu wanaenda kupora mali za wazee hata wenye miaka 88 bila aibu shame on them
Kiufupi wizara ya ardhi ilihalilisha kiwanja no 170a cha Mwanaidi Alawi wa Kipawa Dar es salaam kwa bwn Abdul Khan mfanyabiashara wa kiasia...baadae ilipotoka magazetini wizara hiyo hiyo ikaona aibu chini ya katibu wake alieshurutishwa kustaafu Patrick Rutabanzibwa wakaondoa kibali cha Khan na kurudishwa umiliki wake kwa mh rais.
Wakati zoezi likiendelea wahusika wakaiongozwa na bi Mwanaiidi wakafungua kesi mahakamani wakashinda .Waliposhinda akarudishiwa uhalali wa kiwanja bibi Mwanaidi,baadae Khan mfanyabiashara akaenda wizara ya ardhi kulalamika kikarudishwa kwa ofisi ya rais ambae mmiliki wake ni rais wetu Kikwete.
Sasa basi ilipoenda mh. Chilligati wakati huo waziri akaondoa uhalalisho kwa rais na kumrudishia bi Mwanaidi haki yake ya umiliki kama ilivoyelezwa na Machi 25,2011 na msajili wa hati na kutolewa gazeti la serikali toleo 12 namba 38101.
Vichekesho vya wizara ya ardhi vs ofisi ya rais
31july mwaka huu bibie akienda kulipia kodi ya kiwanja akakuta kiwanja chake kimerejeshwa kwa ofisi ya rais tangu Apr 2013
bila ya yeye kuambiwa
Kwa mliosoma unachoona hapa kuna kamchezo kachafu kanataka kufanyika kumdhulumu bibi huyu kati ya ofisi ya rais na wizara ya ardhi ikiongozwa na mama Tibaijuka....
Hata hivyo taarifa zilizotufikia zinasema bibie Mwanaidi akiwa na wakili wake waliekea ofisi ya rais kutaka kujua mmiliki wa kiwanja ni nani na yeye kama rais anarudishiwa kumiliki kiwanja kama nani??Ikasema rais wetu kipenzi Jakaya Mrisho Kikwete ajawahi kusaini kufuta umiliki wa bi Mwanaidi hata siku moja.
wito:
Najua hii sio tu kwa Mwanaidi na ndugu zako wengi wamepigwa kule ardhi wakiongozwa na katibu asiyehamishika mpaka maombi ya Mungu kuamua kumng'oa mwenywe.
Ndugu zanguni lazima tuwe wazi haki yako usiiachie hata maramoja,kuna uchafu mwingi ardhi..
Nilijua mh. Tibaijuka utakuwa mwisho wa matatizo lakini inavyoonekana mtandao wao ni hatari kuliko wa madawa yakulevya kama uamini stay tune.
Mh Tibaijuka tunaitaji maneno yako kwa huyu bibi.