Ofisi ya Kupanga Inahitajika

FOEL

Senior Member
Jan 19, 2012
141
34
[h=2][/h]
Wakuu, heshima mbele sana.

We are looking for an office of 1 or 2 rooms kwa matumizi ya ofisi, hata kama ni ya kuchangia na wengine tuko tayari pia ku changia.

Iwe maeneo ya Ada Estate, Oysterbay, Masaki, Msasani, Namanga, Block 41, mikocheni A or Mikocheni B.

Asanteni na Mungu mwenyezi awabariki sana​
 
Back
Top Bottom