Ofisi ya DPP

Awe billionea kwa kukubali kupokea Rushwa ? Wewe inaonyesha ungekuwa na cheo chake ungekuwa billionea kwa kupokea rushwa. Taifa hili laelekea wapi jamani?
 
wakuu mtu akishahukumiwa means hakuna tena mashika yataendelea na mkataba wake na DPP unaterminate palepale...unless mtu huyo akate rufaa baada ya hukumu kutolewa(ref..kesi ya hao askari polisi 8 huko Mwanza) ambapo shauri lao lilikuwa lipo mahakama ya rufaa baada ya ile uhukumu kutolewa...sasa DPP anahusika kwa mashauri yaliyopo Mahakamani tu na si kuwaachia wafungwa kama mnavyoamini....note! DPP atatoa sababu ya kutoendelea na jarada la mtuhumiwa akiona inafaa kufanya hivyo na si kumtoa mfungwa ambae kapatikana na hatia na kakubaliana na hukumu...mwenye mamlaka ya kutengua kifungo cha mtuhumiwa ni Rais (Why not Raisi?) pekee kwa mjibu wa katiba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…